Hawa ndo think-tank wa nchi, kwanini tusivune upupu?hili jitu ni la hovyo , eti tuna mawaziri ... Madelu eti naye ni waziri..
Kwanini Nairobi na siyo sisi ?!. Umewahi kujiuliza hilo !Watu wanalilia ubalozi wa Denmark kama kwamba na sisi tuna ubalozi huko. Tanzania tuna Sweden kutuwakilisha katika nchi zote za Nordic Baltic na Ukraine ambazo ni karibu nchi kumi. Pale Copenhagen kuna ofisi ndogo tu ya consulate. Haiyumkini inawezekana nao wanafunga ubalozi na kuacha ofisi ndogo ya consulate ili kupunguza gharama za uendeshaji.
Kanada iliwahi kufunga ubalozi, wakahamishia shughuli Kenya, halafu baadaye wakarudi tena. Australia nayo iliwahi kufunga kwa sababu sis hatukuwa na ofisi ya Ubalozi kwao; hivyo wakahamishia shughuli zao Nairobi, lakini baadaye wakarudi tena. Mimi naona kama hili ni jambo la kawaida tu.
Wengi wamesoma juujuu tu. Ila Denmark wanafunga ofisi Tanzania kwa sababu chanya kabisa. Walifungua ofisi ya ubalozi mwaka 1963 kwa ushwishi wa J K Nyerere ili kutusaidia kwenye maeneo ya elimu, afya, maji na utawala Bora. Baada ya miaka 60 wametathmini wameona tumepiga hatua kubwa, hivyo basi ni not waende wakatumie raslimali zao kwenye nchi zilizo na uhitaji zaidi za eneo la Sahel.
Hakikaukisoma humu kuanzia juu, watu wanalalamikia misaada na kusaidiwa tu...dah inasikitisha sana.
kumbe ni vizuri sasa waondoke, ili akili zitukae sawa tujifunze kujitegemea sasa....bila shaka watu watakuwa wabunifu sasa kujiokoa na shida..tukizoea sana kupewa mnafikiri lini tutafikiri na kuishi wenyewe.....ushaona China na Mrusi analazimisha mtu kufungua balozi huko....watu lazima wakuheshimu, heshima hapewi ombaomba...
Uvivu wetu wa kusoma mkuu ππWengi wamesoma juujuu tu. Ila Denmark wanafunga ofisi Tanzania kwa sababu chanya kabisa. Walifungua ofisi ya ubalozi mwaka 1963 kwa ushwishi wa J K Nyerere ili kutusaidia kwenye maeneo ya elimu, afya, maji na utawala Bora. Baada ya miaka 60 wametathmini wameona tumepiga hatua kubwa, hivyo basi ni not waende wakatumie raslimali zao kwenye nchi zilizo na uhitaji zaidi za eneo la Sahel.
Nchi za Sahel ni Mauritania, Mali, Niger, Burkina Faso and Chad zina face "many challenges, including chronic insecurity, rising extremism, a lack of economic prospects, and poor access to education, employment and essential services such as water and electricity. Climate change is weakening the region even more" (Google).
Namnukuu Balozi anasema; "Kipaumbele changu kama Waziri wa Mambo ya nje ni kuhakikisha usalama wa watu wa Denmark katika ulimwengu ambao demokrasia, haki za binadamu, na madili yetu vinakandamizwa."
Kwa maneno hayo wanakokwenda ni kule kunakokandamiza haki za binadamu yaani Mauritania, Mali, Niger na Chad.
Kama unabisha nenda katafute democracy index kwenye ripoti ya Economic Intelligence Unit (EUI)
Wenyewe watakuambia ni kwa sababu Mbowe ameshatakiwa kwa Ugaidi. NonsenseUvivu wetu wa kusoma mkuu ππ
Historia inasema nini?Kwanini Nairobi na siyo sisi ?!. Umewahi kujiuliza hilo !
Ingekua hivyo wangeshafunga huko kenya na msumbiji, acha kuonyesha ujinga wakoWapo sahihi kabisa. Siyo kitu kirahisi kuwa na balozi kwenye nchi zenye ugaidi kama Tanzania.
Si kuna watu kadhaa wapo lockup kwa tuhuma za ugaidi? Na juzi pia gaidi Hamza si aliuweka ubalozi wa ufaransa under presha hadi mlizi wao akauawa?
Nashauri pia nchi nyingine za Ulaya na Marekani wafunge balozi zao pia kwa sababu kuna threat kubwa sana ya security Tanzania kutokana na ugaidi.
Wengi wamesoma juujuu tu. Ila Denmark wanafunga ofisi Tanzania kwa sababu chanya kabisa. Walifungua ofisi ya ubalozi mwaka 1963 kwa ushwishi wa J K Nyerere ili kutusaidia kwenye maeneo ya elimu, afya, maji na utawala Bora. Baada ya miaka 60 wametathmini wameona tumepiga hatua kubwa, hivyo basi ni not waende wakatumie raslimali zao kwenye nchi zilizo na uhitaji zaidi za eneo la Sahel.
Nchi za Sahel ni Mauritania, Mali, Niger, Burkina Faso and Chad zina face "many challenges, including chronic insecurity, rising extremism, a lack of economic prospects, and poor access to education, employment and essential services such as water and electricity. Climate change is weakening the region even more" (Google).
Namnukuu Balozi anasema; "Kipaumbele changu kama Waziri wa Mambo ya nje ni kuhakikisha usalama wa watu wa Denmark katika ulimwengu ambao demokrasia, haki za binadamu, na madili yetu vinakandamizwa."
Kwa maneno hayo wanakokwenda ni kule kunakokandamiza haki za binadamu yaani Mauritania, Mali, Niger na Chad.
Kama unabisha nenda katafute democracy index kwenye ripoti ya Economic Intelligence Unit (EUI)
Unayeitaja China, hujui chochote kuhusu China. Viongozi wa China kila leo wapo Ulaya kuomva wawekezaji wa ulaya waende kuwekeza China.ukisoma humu kuanzia juu, watu wanalalamikia misaada na kusaidiwa tu...dah inasikitisha sana.