Wizara ya Ulinzi ya Denmark imesema wanajeshi wa nchi hiyo wana wajibu wa kufyatua risasi na kushambulia moja moja, hata bila kupata amri kutakuwa na jaribio lolote la kuivamia Greenland kwa nguvu. Kauli hiyo imetolewa wakati Marekani ikitajwa kufikiria hatua za kijeshi kuiteka au kuiunganisha Greenland.
Kwa mujibu wa wizara hiyo, kanuni hiyo ya mwaka 1952 inaelekeza wanajeshi “kuingia vitani mara moja” dhidi ya nguvu yoyote ya kigeni inayotishia ardhi ya Denmark, hata kama hakuna tamko rasmi la vita. Agizo hilo liliwekwa baada ya uvamizi wa Wanazi mwaka 1940, wakati mifumo ya mawasiliano iliporomoka na vikosi vya jeshi kukosa maelekezo ya wazi ya namna ya kujibu uvamizi.
Denmark, ambayo inasimamia Greenland, imekataa vikali mapendekezo ya Rais wa Marekani Donald Trump ya kuinunua au kuiteka kisiwa hicho. Waziri Mkuu wa Denmark, Mette Frederiksen, amesema kuwa shambulio lolote dhidi ya Greenland, ambayo ni eneo linalojitawala, litakuwa sawa na kuvunja kabisa muungano wa kijeshi wa NATO.
==========
Danish troops must open fire — even without direct orders — if invaders try to capture Greenland by force, Denmark’s Defense Ministry said as the US weighs military action to annex the land.
The ministry confirmed Wednesday that soldiers are required to uphold a Cold War-era rule to “immediately take up the fight” against any foreign force threatening Danish territory, local Berlingske reported.
The 1952 directive explicitly states that troops must fight without waiting for commands, even if their leaders are unaware of a formal declaration of war, Denmark’s Defense Command and Ministry told the outlet. The order was initially created as a result of the Nazi attack on Denmark in 1940, when the country’s communication system partially collapsed and military units were left unsure of how to respond to the invading army.
The order has since remained standing in Denmark, which oversees Greenland and has rejected President Trump’s proposals for the US to purchase or seize the island. Danish Prime Minister Mette Frederiksen slammed the Trump administration’s latest attempts to claim the island as a US territory, saying an attack on the autonomous territory would mark an end to the NATO defense alliance.
“If the United States chooses to attack another NATO country militarily, then everything stops,” Frederiksen said on Monday. The Joint Arctic Command, Denmark’s military authority in Greenland, is the agency that would ultimately assess what constitutes an attack on the island.
Source: New york post