Denmark yaagiza wanajeshi wake kushambulia moja kwa moja bila kusubiri amri endapo Greenland itavamiwa na Marekani

Denmark yaagiza wanajeshi wake kushambulia moja kwa moja bila kusubiri amri endapo Greenland itavamiwa na Marekani

Mwezi jana gallon US ilikuwa $3.5 leo ni $1.63 imebaki nini sasa au ubishi tu, wiki hii mwishoni itakua chini ya $1 muda utaongea
Sijui unaishi wapi, lakini kwa US hakuna kitu kama hicho 1.63, national average is almost 3$ ,data zipo online everyone can see it
 
Afrika inatakiwa iungane iwe nchi Moja ili kutengeneza nguvu ambayo baadae tutaenda kumvamia marekani kumpokonya ukiranja wa Dunia na kuzuia expansionism yake
 
interresting, denmark ni member wa nato, USA pia ni nato, sasa nato attacks nato? plus USA ana military base greendland kwa miaka zaidi ya 70 sasa, kwa nini wasibomb US military base huko kwanza? hizo ni blah blah tu ...
Trump ni mwendawazimu.
 
Trump lazima achukue Greenland. Anadai Denmark imeshakuwa overun na Wasomali haiwezi kusimamia Greenland ambayo iko maelfu ya miles toka Copenhagen., na kwamba yeye mambo ya international law hayamuhusu., anatumia akili yake tu.

Kwa kweli Trump ni mwamba haswa.
Tatizo hana hizo akili za kunitumia.
 
Trump ni mwendawazimu.

D.Trump siyo mwendawazimu, ana more infos khs US national security and the whole Christian world klk wewe na mimi, kwanza kama angekuwa yuko peke yake wasingemuachia afanye anayoyafanya amerika kuna checks and balances siyo kama tanzagiza, D.Trump anawakilisha interests za USA ina the 21st century ambapo dunia imebadilika sana tu, kuna mengi yanaendelea ambayo china anayafanya hayatangazwi, china anaizingira USA kupitia venezuela ofcourse ni polepole na kwingineko hata greenland tayari china na urusi wameshaingia hivyo kwa US ni lazima waichukuwe greenland denmark hana uwezo wa kuilinda greenland, ni very strategic the US national security ...

Hizi ni hoja kama za Putin Mwendawazimu mwingine anayevamia majirani zake na pia ndio hoja zitakazotumiwa na watawala wendawazimu wengine watakaofuata mfano wake kuanzisha vita na kuvamia nchi majirani zao.
 
well, kabla ya D.Trump, all US presidents bombed some countries, obama alivamia na kubomb libya au umesahau? kumbuka libya wa a stable functioning country obama akaibomoa yote na obama pia ni mwendawazimu? bushes alibomb irak, clinton alibomb serbia and yugoslavia yeye siyo mwendawazimu? usidanganyewe sana na msn, all US presidents wanafwata US intrerests na hakuna raisi wa USA ambaye hajavamia nchi nyingine.

sema linapokuja swala la Trump wengi wenu mnaongozwa zaidi na emotions klk facts na hii ni kwa sababu ya msn ambayo ofcourse ni anti Trump sababu ya internal politics zao za conservatives vs liberals ambapo msn wengi wao ni liberal, Trump yuko upande wa conservatives hivyo ni vita baina yao lkn so far ndiyo raisi pekee ambaye hajabomb foreign countries na kuuwa watu kama wengine waliopita lkn huwezi kumuita obama mwendawazimu au clinton mwendawazimu kwa nini? ni kwa sababu obama au clinton ni liberals na feeds unazozipata ktk msn lkn they are just as bad ...
 
Great, lakini ni dalili ya bad economy, in general oil business is a dying industry, renewables and electric cars are taking over
Ni kweli mkuu ndio maana mara nyingi tunasema kuna wale jamaa wanaojitapa deile tuna magesi ya kutosha Mtwara lkn ikija kwnye kuyatumia wanaleta mavikwazo wapate rushwa na deals zinakwama tunasema mara kwa mara watakuja kuyajutia maamuzi yao wakati haina value tena dunia ishasonga mbele! Business is timing
 
interresting, denmark ni member wa nato, USA pia ni nato, sasa nato attacks nato? plus USA ana military base greendland kwa miaka zaidi ya 70 sasa, kwa nini wasibomb US military base huko kwanza? hizo ni blah blah tu ...
Kichaa Trump ataleta mgogoro ndani ya NATO.
 
Back
Top Bottom