Denmark yaagiza wanajeshi wake kushambulia moja kwa moja bila kusubiri amri endapo Greenland itavamiwa na Marekani

Denmark yaagiza wanajeshi wake kushambulia moja kwa moja bila kusubiri amri endapo Greenland itavamiwa na Marekani

Afrika inatakiwa iungane iwe nchi Moja ili kutengeneza nguvu ambayo baadae tutaenda kumvamia marekani kumpokonya ukiranja wa Dunia na kuzuia expansionism yake
Huo utakuwa ni muungano WA nyumbu, si lolote mbele Simba mmoja.
 
than how is that anasapoti (Trump) regime change in islamic republic of iran? ...
Na iweje kamtoa mgalatia mwenzake maduro kwenye ulaji, na sasa anaenda kula vichwa vya wagalatia wa denmark,
Kuna wagalatia konki kama south america, na anawapelekea moto ndani ya US bila kujali yesu wala msalaba, wewe utasubiri sana na ulokole wako, Trump haangalii msalaba wala rozari, utatema bungo tu hapa
Hapo namkubali sana Beberu Trump,
 
Umesikia anataka galon ya mafuta iwe chini ya $1 Marekani nzima?
Platinum member unaongea PUMBA kwa kujiamini kabisa.
😂😂😂😂
Hiki ulichokiandika umekichakata kabisa kichwani kabla ya kukiandika!!!
 
interresting, denmark ni member wa nato, USA pia ni nato, sasa nato attacks nato? plus USA ana military base greendland kwa miaka zaidi ya 70 sasa, kwa nini wasibomb US military base huko kwanza? hizo ni blah blah tu ...

Who cares?
 
Platinum member unaongea PUMBA kwa kujiamini kabisa.
😂😂😂😂
Hiki ulichokiandika umekichakata kabisa kichwani kabla ya kukiandika!!!
Simpo, weka yako ya ukweli uliyochakata kijana kwani kuna ushindani hapa?
 
Denmark alikuwa anasapoti ujinga sasa atajua adui yake halisi ni nani na umoja wa ulaya ujiangalie maana wamekuwa vijibwa wa Marekani
 
Back
Top Bottom