Trump ni puppet wa Putin , mtastuka muda umeenda snWizara ya Ulinzi ya Denmark imesema wanajeshi wa nchi hiyo wana wajibu wa kufyatua risasi na kushambulia moja moja, hata bila kupata amri kutakuwa na jaribio lolote la kuivamia Greenland kwa nguvu. Kauli hiyo imetolewa wakati Marekani ikitajwa kufikiria hatua za kijeshi kuiteka au kuiunganisha Greenland.
Kwa mujibu wa wizara hiyo, kanuni hiyo ya mwaka 1952 inaelekeza wanajeshi βkuingia vitani mara mojaβ dhidi ya nguvu yoyote ya kigeni inayotishia ardhi ya Denmark, hata kama hakuna tamko rasmi la vita. Agizo hilo liliwekwa baada ya uvamizi wa Wanazi mwaka 1940, wakati mifumo ya mawasiliano iliporomoka na vikosi vya jeshi kukosa maelekezo ya wazi ya namna ya kujibu uvamizi.
Denmark, ambayo inasimamia Greenland, imekataa vikali mapendekezo ya Rais wa Marekani Donald Trump ya kuinunua au kuiteka kisiwa hicho. Waziri Mkuu wa Denmark, Mette Frederiksen, amesema kuwa shambulio lolote dhidi ya Greenland, ambayo ni eneo linalojitawala, litakuwa sawa na kuvunja kabisa muungano wa kijeshi wa NATO.
==========
Danish troops must open fire β even without direct orders β if invaders try to capture Greenland by force, Denmarkβs Defense Ministry said as the US weighs military action to annex the land.
The ministry confirmed Wednesday that soldiers are required to uphold a Cold War-era rule to βimmediately take up the fightβ against any foreign force threatening Danish territory, local Berlingske reported.
The 1952 directive explicitly states that troops must fight without waiting for commands, even if their leaders are unaware of a formal declaration of war, Denmarkβs Defense Command and Ministry told the outlet. The order was initially created as a result of the Nazi attack on Denmark in 1940, when the countryβs communication system partially collapsed and military units were left unsure of how to respond to the invading army.
The order has since remained standing in Denmark, which oversees Greenland and has rejected President Trumpβs proposals for the US to purchase or seize the island. Danish Prime Minister Mette Frederiksen slammed the Trump administrationβs latest attempts to claim the island as a US territory, saying an attack on the autonomous territory would mark an end to the NATO defense alliance.
βIf the United States chooses to attack another NATO country militarily, then everything stops,β Frederiksen said on Monday. The Joint Arctic Command, Denmarkβs military authority in Greenland, is the agency that would ultimately assess what constitutes an attack on the island.
Source: New york post
Trump ni puppet wa Putin , mtastuka muda umeenda sn
Wazo jema kulinda mipaka yao..Je wataweza kuishambulia Marekani?Wizara ya Ulinzi ya Denmark imesema wanajeshi wa nchi hiyo wana wajibu wa kufyatua risasi na kushambulia moja moja, hata bila kupata amri kutakuwa na jaribio lolote la kuivamia Greenland kwa nguvu. Kauli hiyo imetolewa wakati Marekani ikitajwa kufikiria hatua za kijeshi kuiteka au kuiunganisha Greenland.
Kwa mujibu wa wizara hiyo, kanuni hiyo ya mwaka 1952 inaelekeza wanajeshi βkuingia vitani mara mojaβ dhidi ya nguvu yoyote ya kigeni inayotishia ardhi ya Denmark, hata kama hakuna tamko rasmi la vita. Agizo hilo liliwekwa baada ya uvamizi wa Wanazi mwaka 1940, wakati mifumo ya mawasiliano iliporomoka na vikosi vya jeshi kukosa maelekezo ya wazi ya namna ya kujibu uvamizi.
Denmark, ambayo inasimamia Greenland, imekataa vikali mapendekezo ya Rais wa Marekani Donald Trump ya kuinunua au kuiteka kisiwa hicho. Waziri Mkuu wa Denmark, Mette Frederiksen, amesema kuwa shambulio lolote dhidi ya Greenland, ambayo ni eneo linalojitawala, litakuwa sawa na kuvunja kabisa muungano wa kijeshi wa NATO.
==========
Danish troops must open fire β even without direct orders β if invaders try to capture Greenland by force, Denmarkβs Defense Ministry said as the US weighs military action to annex the land.
The ministry confirmed Wednesday that soldiers are required to uphold a Cold War-era rule to βimmediately take up the fightβ against any foreign force threatening Danish territory, local Berlingske reported.
The 1952 directive explicitly states that troops must fight without waiting for commands, even if their leaders are unaware of a formal declaration of war, Denmarkβs Defense Command and Ministry told the outlet. The order was initially created as a result of the Nazi attack on Denmark in 1940, when the countryβs communication system partially collapsed and military units were left unsure of how to respond to the invading army.
The order has since remained standing in Denmark, which oversees Greenland and has rejected President Trumpβs proposals for the US to purchase or seize the island. Danish Prime Minister Mette Frederiksen slammed the Trump administrationβs latest attempts to claim the island as a US territory, saying an attack on the autonomous territory would mark an end to the NATO defense alliance.
βIf the United States chooses to attack another NATO country militarily, then everything stops,β Frederiksen said on Monday. The Joint Arctic Command, Denmarkβs military authority in Greenland, is the agency that would ultimately assess what constitutes an attack on the island.
Source: New york post
Trump ni puppet wa Putin , mtastuka muda umeenda sn
Hicho kitu hakiwezekan unajua galon moja sawasawa na lita ngapi wewe pimbi?Umesikia anataka galon ya mafuta iwe chini ya $1 Marekani nzima? Unajua lengo lake nini? Anachukua mafuta ya Venezuela anayamwaga dunia nzima ili kuporomosha bei aondoe kiburi cha Putin na kummaliza kiuchumi, mbinu ya kumbembeleza na kumpa Ukraine silaha keshaona haifanyi kazi!
Wamerekani, FBI, CIA wasijue ile wewe Mdusi wa Tabata Kimanga ndio ujue?Trump ni puppet wa Putin , mtastuka muda umeenda sn
Hicho kitu hakiwezekan unajua galon moja sawasawa na lita ngapi wewe pimbi?
Trump ni kichaa apelekwe Mirembe ya huko kwao.Trump lazima achukue Greenland. Anadai Denmark imeshakuwa overun na Wasomali haiwezi kusimamia Greenland ambayo iko maelfu ya miles toka Copenhagen., na kwamba yeye mambo ya international law hayamuhusu., anatumia akili yake tu.
Kwa kweli Trump ni mwamba haswa.
Haendi popote hadi achukue Greenland na kukomesha woke calture ya radical left ya wa democrats na liberalsTrump ni kichaa apelekwe Mirembe ya huko kwao.
Kichaa hawezi kuiongoza USA, kichaa anaweza kuongoza Tz tuuTrump ni kichaa apelekwe Mirembe ya huko kwao.
Aporomoshe bei ya mafuta π,bro follow the money kuelewa mchezo mzima wa VenezuelaUmesikia anataka galon ya mafuta iwe chini ya $1 Marekani nzima? Unajua lengo lake nini? Anachukua mafuta ya Venezuela anayamwaga dunia nzima ili kuporomosha bei aondoe kiburi cha Putin na kummaliza kiuchumi, mbinu ya kumbembeleza na kumpa Ukraine silaha keshaona haifanyi kazi!