Mwezi jana gallon US ilikuwa $3.5 leo ni $1.63 imebaki nini sasa au ubishi tu, wiki hii mwishoni itakua chini ya $1 muda utaongeaAporomoshe bei ya mafuta π,bro follow the money kuelewa mchezo mzima wa Venezuela
Sijui unaishi wapi, lakini kwa US hakuna kitu kama hicho 1.63, national average is almost 3$ ,data zipo online everyone can see itMwezi jana gallon US ilikuwa $3.5 leo ni $1.63 imebaki nini sasa au ubishi tu, wiki hii mwishoni itakua chini ya $1 muda utaongea
Haya mkubwa bishana na hiyo link mi nayaishi sigoogle jana nimejaza tanki kwa $1.99 leo imeshuka zaidiSijui unaishi wapi, lakini kwa US hakuna kitu kama hicho 1.63, national average is almost 3$ ,data zipo online everyone can see it
Ni hapo unapoishi tuu,tunalipa 3$ huku and national average is 2.80$Haya mkubwa bishana na hiyo link mi nayaishi sigoogle jana nimejaza tanki kwa $1.99 leo imeshuka zaidi
Kula chuma hichoπ
Wabongo bana!
Colorado leo itakua $1.50 probably! Tazama hizo gas stations zote hamna iliyozidi $1.75Ni hapo unapoishi tuu,tunalipa 3$ huku and national average is 2.80$
Great, lakini ni dalili ya bad economy, in general oil business is a dying industry, renewables and electric cars are taking overColorado leo itakua $1.50 probably! Tazama hizo gas stations zote hamna iliyozidi $1.75
Nafikiri kwanza mjisaidie mpate milo miwili na maji safi ya kuogaAfrika inatakiwa iungane iwe nchi Moja ili kutengeneza nguvu ambayo baadae tutaenda kumvamia marekani kumpokonya ukiranja wa Dunia na kuzuia expansionism yake
Trump ni mwendawazimu.interresting, denmark ni member wa nato, USA pia ni nato, sasa nato attacks nato? plus USA ana military base greendland kwa miaka zaidi ya 70 sasa, kwa nini wasibomb US military base huko kwanza? hizo ni blah blah tu ...
Tatizo hana hizo akili za kunitumia.Trump lazima achukue Greenland. Anadai Denmark imeshakuwa overun na Wasomali haiwezi kusimamia Greenland ambayo iko maelfu ya miles toka Copenhagen., na kwamba yeye mambo ya international law hayamuhusu., anatumia akili yake tu.
Kwa kweli Trump ni mwamba haswa.
Katika demokrasia wajinga wanaweza kumchagua mwendawazimu awaongoze. Hiyo ni gharama mojawapo ya demokrasia.Kichaa hawezi kuiongoza USA, kichaa anaweza kuongoza Tz tuu
Trump ni mwendawazimu.
Hizi ni hoja kama za Putin Mwendawazimu mwingine anayevamia majirani zake na pia ndio hoja zitakazotumiwa na watawala wendawazimu wengine watakaofuata mfano wake kuanzisha vita na kuvamia nchi majirani zao.D.Trump siyo mwendawazimu, ana more infos khs US national security and the whole Christian world klk wewe na mimi, kwanza kama angekuwa yuko peke yake wasingemuachia afanye anayoyafanya amerika kuna checks and balances siyo kama tanzagiza, D.Trump anawakilisha interests za USA ina the 21st century ambapo dunia imebadilika sana tu, kuna mengi yanaendelea ambayo china anayafanya hayatangazwi, china anaizingira USA kupitia venezuela ofcourse ni polepole na kwingineko hata greenland tayari china na urusi wameshaingia hivyo kwa US ni lazima waichukuwe greenland denmark hana uwezo wa kuilinda greenland, ni very strategic the US national security ...
Exclusive: Trump administration mulls payments to sway Greenlanders to join US
The idea of directly paying residents of Greenland, an overseas territory of Denmark, offers one explanation of how the U.S. might attempt to "buy" the island of 57,000 people.www.reuters.com
Hizi ni hoja kama za Putin Mwendawazimu mwingine anayevamia majirani zake na pia ndio hoja zitakazotumiwa na watawala wendawazimu wengine watakaofuata mfano wake kuanzisha vita na kuvamia nchi majirani zao.
Tukiungana hayo unayofikiri yatakuja mwenyewe tu.kwa Sasa hatuyapati Kwa sababu muungano haupoNafikiri kwanza mjisaidie mpate milo miwili na maji safi ya kuoga
NakaziaKichaa hawezi kuiongoza USA, kichaa anaweza kuongoza Tz tuu
Lkn sio kwa USAKatika demokrasia wajinga wanaweza kumchagua mwendawazimu awaongoze. Hiyo ni gharama mojawapo ya demokrasia.
Ni kweli mkuu ndio maana mara nyingi tunasema kuna wale jamaa wanaojitapa deile tuna magesi ya kutosha Mtwara lkn ikija kwnye kuyatumia wanaleta mavikwazo wapate rushwa na deals zinakwama tunasema mara kwa mara watakuja kuyajutia maamuzi yao wakati haina value tena dunia ishasonga mbele! Business is timingGreat, lakini ni dalili ya bad economy, in general oil business is a dying industry, renewables and electric cars are taking over
Kichaa Trump ataleta mgogoro ndani ya NATO.interresting, denmark ni member wa nato, USA pia ni nato, sasa nato attacks nato? plus USA ana military base greendland kwa miaka zaidi ya 70 sasa, kwa nini wasibomb US military base huko kwanza? hizo ni blah blah tu ...