Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 2,278
- 3,035
Huo utakuwa ni muungano WA nyumbu, si lolote mbele Simba mmoja.Afrika inatakiwa iungane iwe nchi Moja ili kutengeneza nguvu ambayo baadae tutaenda kumvamia marekani kumpokonya ukiranja wa Dunia na kuzuia expansionism yake
Na iweje kamtoa mgalatia mwenzake maduro kwenye ulaji, na sasa anaenda kula vichwa vya wagalatia wa denmark,than how is that anasapoti (Trump) regime change in islamic republic of iran? ...
Platinum member unaongea PUMBA kwa kujiamini kabisa.Umesikia anataka galon ya mafuta iwe chini ya $1 Marekani nzima?
interresting, denmark ni member wa nato, USA pia ni nato, sasa nato attacks nato? plus USA ana military base greendland kwa miaka zaidi ya 70 sasa, kwa nini wasibomb US military base huko kwanza? hizo ni blah blah tu ...
Simpo, weka yako ya ukweli uliyochakata kijana kwani kuna ushindani hapa?Platinum member unaongea PUMBA kwa kujiamini kabisa.
ππππ
Hiki ulichokiandika umekichakata kabisa kichwani kabla ya kukiandika!!!