DENZEL OMONDI ambaye kwenye list ambayo walishirki kujipost bungeni huko kenya naye amefariki na kutupwa

Kila mtu atakufa na kuoza. Don’t be afraid of death..you’ll be liberated from it so next time you better learn the art of dying. Learn both ways to win and sometimes to accept defeat. To learn to die is to be liberated from it.
There's a clear difference between accepting death because death is inevitable and dying stupiditly.
 
Ruto anahistoria ya kuua,,kumbuka wakati ule wamepelekwa the League,.Huwa anamakundi maaalumu ya mauaji na kumbuka alisema wote walioharibu Mali za umma ni waharifu.Alitumia vitisho kama vya mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam.
 
Huu uoga ndo umefanya Tanzania tuwe tunaynyasika,,majitu yanaiba fedha za umma tumalala sbb yakupeana uoga.Huu ni ujinga na hizi comment za kijinga sana
 
Wakati sanduku wanaiba,,acha ujinga.ingekuwa kufuata Sanduku huko bukinafaso..Mali na niger wangekuwa bado kwenye utumwa wa ufaransa
 
Serikali imeumia kulazimishea kuondoa bill lakini inawaua walioandmana..Sasa unataka wapoe kwa lipi ?kumbuka serikali husika ina wezi wakubwa
 
Wewe kama huwezi Nyamaza,,usizani Kenya wanaendelea kwa kupitia njia Rahisi,Odinga mwenyewe alifungalwa na kunyanyswa sana lakini taifa likakombolewa
 
You must be insane to think and condones violence as the best approach to tackle political and economical obstacles.
Whats The best ways of tackling the so called Political And economical Obstacles??
Is it not Confrotation to the Ruling Group so to see that the Ruled Group are awaking?

And Confrotation doesnt alwayz brought violence so who brought it?

As per my Knowledge hakuna mwananchi anaye anzisha what so called violence ila ni watawala baada ya kutumia nguvu kuwatawanya Waandamanaji na wao inabdi watumia nguvu kufikisha ujumbe wao..

Uliona Tanzania walipoandmana Chadema Kulitokea Violence unajua kwanini?
Mtawala hakutaka Kuminyana na Wananchi aliwaachia watimizie adhima yao..

Hakuna Mtu anayependa Violence itokee na wala hakuna mtu anayependa kufa ila kuna muda ukifika watu huona Liwalo na Lile..

Mwalimu nyerere aliwahi kusema na nitaweka nukuu zake chache ili ujifunze kabla sijaingia Deep kwenye Political science kukuelewesha kitu...

"Amini nawaambieni enyi waswahili wachache
mnaotawala, mnaamini kweli mtawaongoza

watanzania kwa lazma wakati wamepoteza matumaini na mtegemee watakaa kwa amani na utulivu?
Amani ni zao la matumaini. Pindi matumaini yanapotoweka kutakuwa na vurugu katika jamii. Nitashangaa kama hawa watanzania watakataa kuasi. Kwanini wasiasi? Nananchi wanapopoteza matumaini unajenga volcano. Volcano hii italipuka siku moja, labda kama watu hawa ni wajinga. Watanzania watakuwa ni wajinga na mataahira kama watakubali kuendelea kukandamizwa na watu wachache katika nchi yao wenyewe".
(Nukuu ya kwanza ya Hotuba ya mwalimu nyerere)



Pia aliwahi kusema..

"Nawaambieni na msikilize kwa makini: UTIl ukizidi sana unakuwa WOGA. Mara zote utii huzaa unafiki na kujipendekeza. Sasa nyinyi watumishi wa umma kwa wingi wenu kama mmeshindwa kupiga kura kuondoa viongozi dhalimu, bora mfe tu"
(NUKUU YA PILI YA HOTUBA YA MWALIMU NYERERE)

Pia aliwahi kusema:- (naomba hii niiandike kwa maandishi ya Kijani kabisa ili uione)

"Siku inakuja ambapo watu watachagua kifo kuliko fedheha na nawahurumia Watanzania watakaoiona siku hiyo! Na ole wao watakaoifanya siku hiyo isiepukike. Natumaini na kusali kuwa siku hiyo kamwe isifike"
(Nukuu ya Tatu kwako ya mwalimu Nyerere)



Swali kwako Nani aliyekuwa na Machungu na Nchi hii kati yako na Nyerere???
 
Mnaolamba asali ndo mnaleta comment za kindezi kama hizi.Ndo maana wafanyakazi wa TRA na mawaziri wanatuibia lakini hatua hazichukuliwi
 
Behind the seen unaweza kuta kuna watu wanataka maandamano yaendelee sasa wanatafuta hasira za umma hii inakuwa ngumu na wengi wanakamatika
Kwa mauaji hayo lazima maandamano yaendelee sbb Mh Rais alisema kwa kinywa chake kuwa waliovamia bunge na sehemu zongine ni waharifu..Sasa awaambie wakenya kama haki Yao ilikuwa kuuawa badala ya kupelekwa mahakamani.Akishindwa kusema basi aondoke madarakani.Ruto anajulikana kwa kuwa na magenge maku WA ya mauaji
 
Swali, unakufa kwenye maandamano kwa faida ya nani?????????????????!
Hawa tunaowaita mashujaa na tunawajengea minara walikufa kwa faida ya nani! Kama si ya kwetu kwanini tunawasifu na kuwakumbuka?
 
Basi tuishi kimbuzi tu hamna namna hilo sindio unasisitiza. Tutegemee kudra za Mungu haki iendelee kutolewa kwa hisani sababu unaogopa utakufa. Ishi kitumwa sababu ya kuogopa risk sio kila anaendamana atakufa. A man who fears challenges
Aina ya mitizamo 'mindset' ya huyo jamaa ni ile ya kitumwa enzi za kufungwa minyororo....sikufikiria wala kudhani kwamba watu wa aina hii bado wana exist.
 
Napinga watu kuuawa ndio maana nawashauri vijana wasishiriki maandamano ili wasije poteza uhai kizembe.

Serikali yeyote ile duniani ikikuona wewe ni "tishio" kwa uwepo wake itakushughulikia kwa namna moja au nyingine.

Waliosoma CUBA wamenielewa.
Nonsense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…