stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
Hii itakuwa tumecopiana...KENYA HII SYSTEM WANAYO ILA NDIO TUMEKOPY KWAO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii itakuwa tumecopiana...KENYA HII SYSTEM WANAYO ILA NDIO TUMEKOPY KWAO
There's a clear difference between accepting death because death is inevitable and dying stupiditly.Kila mtu atakufa na kuoza. Don’t be afraid of death..you’ll be liberated from it so next time you better learn the art of dying. Learn both ways to win and sometimes to accept defeat. To learn to die is to be liberated from it.
Duuh,kumbe kenya nako wasiojulikana wapo.
How exactly?There's a clear difference between accepting death because death is inevitable and dying stupiditly.
Ruto anahistoria ya kuua,,kumbuka wakati ule wamepelekwa the League,.Huwa anamakundi maaalumu ya mauaji na kumbuka alisema wote walioharibu Mali za umma ni waharifu.Alitumia vitisho kama vya mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam.Naanza kuamini haya maandamano ya Kenya pamoja na yooote yana mkono wa mtu, kilichokua kinasubiriwa ni Ruto ajichanganye na alipoingia king watu wakasukuma kete. , hivyo basi kundi hilo hilo la mitego limeanza kusukuma kete nyingine muhimu katika mipango yao ili ionekane Ruto anaua watu kwa kisasi hapo sasa maandamano yatazidi na lengo lao litazidi kutimiq, jiulize kama Ruto kakubali kutia mpira kwapani kwanini madogo kila kukicha wanazua jipya?
Huu uoga ndo umefanya Tanzania tuwe tunaynyasika,,majitu yanaiba fedha za umma tumalala sbb yakupeana uoga.Huu ni ujinga na hizi comment za kijinga sanaWalichofanya sio poa ile ni hasara ya mabillion , haya mambo usipenda kujiweka mbele mbele na conscious za kishamba utapotea .
Kuna jamaa walisababisha mgomo na vurugu pale udsm miaka ya 90's mpaka leo vyeti vyao vina alama kila wanapoenda wanashindwa kusoma Masters , sio wote ila wale walijifanya waratibu wa mgomo kwa kukaa mbele.
Wakati sanduku wanaiba,,acha ujinga.ingekuwa kufuata Sanduku huko bukinafaso..Mali na niger wangekuwa bado kwenye utumwa wa ufaransaNamna ya kuyashughulikia hayo "majizi" sio kuvamia Bungeni na kuharibu mali, bali ni kwa njia ya sanduku la "kura".
Tunapaswa kuheshimu "mamlaka" zilizopo. Tukiona Serikali hatimizi matakwa yetu basi tuiondoe kwa kufuata utaratibu ambao ni "sanduku la kura".
Serikali imeumia kulazimishea kuondoa bill lakini inawaua walioandmana..Sasa unataka wapoe kwa lipi ?kumbuka serikali husika ina wezi wakubwaUendeshaji wa Siasa za kiafrica ni mgumu sana. Lakini inaonekana Gen Z hawajui nini wanataka.
Serikali imeshafanya reforms kwa kila hatua lakini bado hawajalifikia lengo ni kama kuna kitu kinatafutwa.
1. Financial bill haikusainiwa.
2. Cut down government expenditure
3. Vyombo vya dola havitumii nguvu mpaka waandamanaji wanataka kuimba nao hozambe.
Kubwa zaidi kavunja baraza la mawaziri.
Siasa inahitaji akili nyingi sana. Kama hayo yanayofanyika kama anafanya Ruto angewaminya kimyakimya na usipatikane hata mfupa wao. Lakini kuweka wazi hivyo kuna political conspiracy .
DENZEL OMONDI alionekana kutrend kwenye mitandao ya kijamii kwenye mgomo huko kenya naye ni muwanga ambaye alipotea na wengine ambao walionekana kujipost bungeni.
Wewe kama huwezi Nyamaza,,usizani Kenya wanaendelea kwa kupitia njia Rahisi,Odinga mwenyewe alifungalwa na kunyanyswa sana lakini taifa likakombolewaMkuu umetoa mfano ambao sio relevant. JPM alikuwa Rais, alijitoa akiwa kama Rais. Baada ya kufariki familia yake inatunzwa, inalindwa na Mke wake kila mwezi anapokea 80% ya mshahara wa JPM pamoja na marupu rupu mengine.
Turudi kwa akina sisi tusiojulikana na system. Ujitoe muhanga kwenye maandamano, upigwe risasi ufe, lakini maandamano yalete tija mabadiliko yatokee. Je, ni nani atakayekukumbuka? Ni nani atakayewatunza watoto wako na Mkeo?
Nikupe mfano mzuri, kule Tunisia walikufa watu kwenye maandamano yaliyoleta mabadiliko ya Serikali, baada ya mabadiliko hao waandamanaji walio kufa familia zao zimepata nini?
Je, Serikali iliyopo madarakani imewakumbuka kwa kuzijali familia walizoacha??
Jibu ni dogo sana, "hakuna anayewakumbuka". Wamesahaulika katika makaburi ya "sahau".
Ndiyo maana nimeuliza tena, unaandamana na kupoteza maisha kwa faida ya nani????
"muwanga" ndiyo nini?
Whats The best ways of tackling the so called Political And economical Obstacles??You must be insane to think and condones violence as the best approach to tackle political and economical obstacles.
Mnaolamba asali ndo mnaleta comment za kindezi kama hizi.Ndo maana wafanyakazi wa TRA na mawaziri wanatuibia lakini hatua hazichukuliwiSasa angalia ujinga huu,mtu kaacha masomo kaenda kukimbia kimbia mtaani na kufanya fujo.
Haya sasa unakufa unaacha majonzi kwa nduguzo.
Hao viongozi wako palepale.
Watz tunaonekana mandezi,hapana ila watu wanaelewa thamani ya uhai wao.
Badala kupoteza muda kumpigia kelele rais ajiuzuru wanatafuta ugali wao
Kwa mauaji hayo lazima maandamano yaendelee sbb Mh Rais alisema kwa kinywa chake kuwa waliovamia bunge na sehemu zongine ni waharifu..Sasa awaambie wakenya kama haki Yao ilikuwa kuuawa badala ya kupelekwa mahakamani.Akishindwa kusema basi aondoke madarakani.Ruto anajulikana kwa kuwa na magenge maku WA ya mauajiBehind the seen unaweza kuta kuna watu wanataka maandamano yaendelee sasa wanatafuta hasira za umma hii inakuwa ngumu na wengi wanakamatika
Swali, unakufa kwenye maandamano kwa faida ya nani?????????????????!Unavamia ofisi za Bunge, unaharibu vitu halafu unaji post kwenye mitandao. Hiyo ni dharau kubwa kwa ofisi ya Bunge hawawezi kukuacha salama.
Utashughulikiwa tu. Kila kitu kina gharama zake, ukifanya kitu cha hovyo lazima ujiandae kulipia gharama.
Swali, unakufa kwenye maandamano kwa faida ya nani?????????????????
Hasara si kubwa kuliko inayofanywa na viongozi ambayo inasababisha waishi maisha duni.Hawa wanaleta hasara kubwa wlaifikiria ni sifa , hasara kubwa wamesababisha
Aina ya mitizamo 'mindset' ya huyo jamaa ni ile ya kitumwa enzi za kufungwa minyororo....sikufikiria wala kudhani kwamba watu wa aina hii bado wana exist.Basi tuishi kimbuzi tu hamna namna hilo sindio unasisitiza. Tutegemee kudra za Mungu haki iendelee kutolewa kwa hisani sababu unaogopa utakufa. Ishi kitumwa sababu ya kuogopa risk sio kila anaendamana atakufa. A man who fears challenges
Andamana bosi,au utaandamana kwenye keyboardMnaolamba asali ndo mnaleta comment za kindezi kama hizi.Ndo maana wafanyakazi wa TRA na mawaziri wanatuibia lakini hatua hazichukuliwi
NonsenseNapinga watu kuuawa ndio maana nawashauri vijana wasishiriki maandamano ili wasije poteza uhai kizembe.
Serikali yeyote ile duniani ikikuona wewe ni "tishio" kwa uwepo wake itakushughulikia kwa namna moja au nyingine.
Waliosoma CUBA wamenielewa.