Denzel Washington ni baba wa watoto wanne, John, Katia, Malcom na Olivia

Mtoto wa Denzel (John David Washington) amestar kwenye movie ya Tenet, one of the best movies.
 
Nkubaligi nyuzi zako unauaga kuanzia intro, main body, hadi conclusion.
 
Kati ya muigizaji ninae kubali filamu zake,sidhani kama alishawahi toa filamu mbaya huyu na Al pacino ni moja ya waigizaji bora kupata kutokea…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…