Deo Kisandu aingia studio kutoa album, Rayvanny, Harmonize na Darasa matumbo joto

Hapo siwezi kukupinga mkuu,kuhusu swala la uthubu yuko vizuri sana na angeweza kuwa sehemu kubwa tu.Kuna wakati alianza kufanya vitu vya ajabu mpaka nikahisi labda kachezewa akili.

Nilipokuwa general Manager SUMA lake zone, niliwahi kumuita ofisini tukapiga story mbili tatu, huku lengo ikiwa ni kumuonya kuhusu swala la kuikashifu serikali bila kujilinda kwa namna yoyote ile, baada ya pale nikaja kusikia kijana kakamatwa.

Nafikiri kwasasa kichwa chake hakiko vizuri, hasa nikiangalia vimbwanga anavyokuja navyo kila siku.
 
Bhudagala maana yake nn mkuu. Hilo jina la msanii ni noma[emoji23]
 
🤣🤣🤣🤣 ila unaonaje yale mauno ya yule manzi kwenye shake body kweli Don Nalimison alitoka salama pale.
 
alishaweka docs za hospital alizopimwa na kuonekana ni mzima hana tatizo la akili

tatizo alilonaloni la maumbile yakekua madogo kama ya mtoto wa darasa la pili na anasubiri dawa alioiagizia ifike, bahati mbaya uzi ule mods wakaufuta.
Huyu alikuwa na Kesi Mahakamani ilimpata kule FESIBUUK
Katoboa?

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Naomba kuwasilisha maombi ya ubody guard kwako msanii mkubwa don kama don. Ninao uzoefu wa miaka 10 kazini
 
Alishasilimu na kuanzisha dini yake?/
 
Watapata tabu sana

Nasema watapata tabu sana
 
Sawa promoter tumekuelewa
 
Hatua nzuri.
Hongera zimfikie
 
Nilikua simfaham ila kwa huu Uzi ikabidi nikamsake utube. Aisee kwa yale magoma kweli akna darasa wajipange
 
Mwambie atumie dawa za kutoa mapunye Kwanza uko kwingine ni kugumu Sana.............
 
Hajawahi kukamatwa lakini kwasababu za kuikosoa wala kuikashfu serikali.

Alikamatwa kwa mambo yake binafsi tu, kwa kuandika maneno Facebook yasiyo na tasfida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…