MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Mpaka sasa taarifa inayotambaa na kutrend mitandaoni ni inshu ya msanii wa kizazi kipya Don Nalimison maarufu kama Deo Kisandu kuachia album yake iliyopewa jina ANTIBIOTIC ALBAM.
Baada tu yakutangaza ujio wa albamu hiyo wachambuzi wakubwa wa muziki waliwaonea huruma wasanii kadhaa wa bongo fleva waliotoa albamu zao hivi karibuni kuwa walifanya vibaya kutoa albam kipindi kimoja na Kisandu wasanii hao ni Harmo, Rayvann na Darasa na wengine wakishauriwa kuacha kutoa albam zao mpaka Kisandu akimaliza mwaka sokoni.
Albamu hiyo inabeba mambo kadhaa ikiwemo maisha ya jela, mahusiano na mtoto wa rais(Malia Obama), mitandao ya kijamii na maisha ya siasa.
Stay tuned kupata taarifa hapa hapa JF