Deo Kisandu aingia studio kutoa album, Rayvanny, Harmonize na Darasa matumbo joto

Deo Kisandu aingia studio kutoa album, Rayvanny, Harmonize na Darasa matumbo joto

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
E34FC3E2-BBCE-4028-BB6D-589B8A48E329.jpeg

Mpaka sasa taarifa inayotambaa na kutrend mitandaoni ni inshu ya msanii wa kizazi kipya Don Nalimison maarufu kama Deo Kisandu kuachia album yake iliyopewa jina ANTIBIOTIC ALBAM.
Baada tu yakutangaza ujio wa albamu hiyo wachambuzi wakubwa wa muziki waliwaonea huruma wasanii kadhaa wa bongo fleva waliotoa albamu zao hivi karibuni kuwa walifanya vibaya kutoa albam kipindi kimoja na Kisandu wasanii hao ni Harmo, Rayvann na Darasa na wengine wakishauriwa kuacha kutoa albam zao mpaka Kisandu akimaliza mwaka sokoni.
Albamu hiyo inabeba mambo kadhaa ikiwemo maisha ya jela, mahusiano na mtoto wa rais(Malia Obama), mitandao ya kijamii na maisha ya siasa.
Stay tuned kupata taarifa hapa hapa JF
 
Don Nalimison hebu njoo utoe ufafanuzi juu ya hizi tetesi. Niko tayari kuwa Meneja wako. Nakuhakikishia tutatengeneza Menejimenti ya hatari sana Tanzania, Afrika na Ulimwenguni kwa ujumla.

Tukipata na ule mzigo wetu wa kutoka ICC hakika hawa wakina Diamond, Ali Kiba, Harmonize, Nandy, na wengineo wengi! Watakuja kujipanga studio wenyewe kuomba korabo na Mkali mwenyewe Mh. Rais Mtarajiwa Deo kisandu! a.k.a Don Nalimison! a.k.a Masqo, a.k.a Mwalimu wa walimu, a.k.a Nelson Mandela wa Bongo.
 
Anaweza akatwaa hata tuzo ya "GRAMMYS AWARDS", akamshinda hata Alikiba na Diamond, waache wang'ae sharubu zao.

Mi huyu jamaa angesimamisha bendera ya kugombea urais kuwakilisha vyama vya upinzani VS Lumumba, basi ningempigia yeye kura. Bora kuongozwa na Don kuliko jamaa wa Chattle.
 
Don aje atoe ufafanunuzi maana nahisi siku hizi Kama anawasemaje
 
Back
Top Bottom