Deo Sanga aomba Rais Magufuli aongezewe muda hata asipotaka

Deo Sanga aomba Rais Magufuli aongezewe muda hata asipotaka

Huyo mbunge aache ujinga.

Aongezewe muda! Tunavyoteseka hivi tena tumuongezee muda?Tunaomba hata hii miaka 4 iishe ndani ya siku moja ili huyu bwana aachie kiti.
 
Lakini Magufuli kisha kataa kuongeza hata sekunde mmoja.

Na katiba ya sasa,hata ile iliozimwa ya Warioba inasema hivyo.

Katibu Mkuu wa CCM Bashiru nae ametamka mara kwa mara kuwa Magu hana mpango huo.

Ila ni mapema mno kupuuzia maneno ya wawakilishi.
 
Ile kampeni ya kuongza nchi mpaka kifo kitakapomchukua imeanza rasmi Jana.

Hakika nchi hii tulifanya kosa KUBWA kumkabidhi mshamba wa madaraka. Anajiona yeye tu ndo anafaa kuwa rais wengineo anawaona mafala tu.

Hii nchi atakayeikoa ni Nani jamani. Watanzania tu waonga rukipigwa mkwara kidogo tu polisi tofauti ni Uganda na kwingineko ambapo hawauwezi kuruhusu upuuzi huo.

Vijana wanataabika hawana ajira na serikali baada ya kushinda kuajiri imeanza kampeni ya kuwatisha walimu kufindisha masomo kumi kumi kila mwalimu wakati wamejazana mtaani hawana ajira.

Mungu wanu mungu mbona umetuacha? Eloy Eloy Rama sabaktani
 
"Rais wetu Dkt. Magufuli amefanya kazi kubwa, ombi langu hapa ndani atake asitake tumuongezee muda ili aweze kufanya kazi yake vizuri ili mipango aliyoipanga ikamilike, nilisema kipindi fulani hata China walifanya hivyo si dhambi kumuongezea anayefanya vizuri" - Deo Sanga...
CCM yetu imekuwa ya ajabu sana wazee wa chama walikuwa juu ya mamlaka zote za chama lakini leo hii mwenyekiti amekuwa juu ya kila kitu wazee wa chama wamekuwa wanyonge kabisa powerless mimi namuomba rais wetu aitii katiba yetu matakwa ya hawa wabunge waliopita kiwepesi safari hii kwa ajili ya utumishi wako ulio bora kwa wananchi yapuuze isipokuwa tuwekee rais atakaye endeleza yale mazuri uliyoyaanzisha ikikupendeza tulee bwana mdogo jaffo kijana wa majohe hana makuu mkimya mswalihina mpenda watu allah amtunzie weledi wake asije kubadila insyallah
 
Mbona Wana wasiwasi kama ni jambo jipaya masikioni mwetu.waongeze tena ikiwezakana kama Israel atafanya yake abaki mtoto wake madarakani

Wakimaliza Hilo na Bunge Leo liendelee kuwepo bila ya uchaguzi mpaka pale watakapoona inafaa kufanya uchaguzi WA wabunge tena
 
Huyo babu waliomchagua ndiyo wamemtuma hayo? Akirudi jimboni wapiga kura wake wamuulize au huko makambako wenzetu kuna neema kubwa sana
 
"Rais wetu Dkt. Magufuli amefanya kazi kubwa, ombi langu hapa ndani atake asitake tumuongezee muda ili aweze kufanya kazi yake vizuri ili mipango aliyoipanga ikamilike, nilisema kipindi fulani hata China walifanya hivyo si dhambi kumuongezea anayefanya vizuri" - Deo Sanga...
Kwa kumwangalia huyu mzee unafikiri anaweza kuwa na akili ?
 
"Rais wetu Dkt. Magufuli amefanya kazi kubwa, ombi langu hapa ndani atake asitake tumuongezee muda ili aweze kufanya kazi yake vizuri ili mipango aliyoipanga ikamilike, nilisema kipindi fulani hata China walifanya hivyo si dhambi kumuongezea anayefanya vizuri" - Deo Sanga....
Hawa majitu majinga making sijui wananchi huwa wanawachaguwaje Yani? Hivi makambako ndiyo kwa kuongozwa na mtu wa hivi
 
Back
Top Bottom