Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
haha tengeneza tatizo kisha ulitatue watu wakuone hero.Mwenyewe atajitokeza na kujidai hataki wakati ndiyo Mpango wenyewe.
i got it man
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haha tengeneza tatizo kisha ulitatue watu wakuone hero.Mwenyewe atajitokeza na kujidai hataki wakati ndiyo Mpango wenyewe.
kuna tofauti ya kuongoza nchi na chama. cha ma hata ww unaweza. ila nchi ni sensitive sana.. sio kitu cha mchezo mchezoMbowe miaka 20 sawa Chadema wajanja, Magufuli miaka 15 hapana, CCM wajinga.
Naomba nimuulize swali deo kama kikwete nawengine waliomtangulia wangeongezewa muda kukaa madarani je leo angeuona huouwezo wa huyo anaetaka aongezwe muda ?MBUNGE WA MAKAMBAKO AT
Mbunge wa Makambako, Deo Sanga amesema Rais Magufuli amefanya kazi kubwa katika nafasi yake ya Urais.
Ametoa ombi la kuongezewa muda wa kubaki madarakani kama Rais ili mipango anayoendelea nayo aweze kuikamilisha.
Ameomba aongezewe muda hata kama asipotaka. Amesema hata China waliwahi kufanya hivyo kipindi fulani katika historia.
Ila lisu ana gundu sana,
Kaifyekelea mbali TLS na Chadema hivyo hivyo,
Kaenda kujituliza zake Belgium.
Up stairs ipo ndogo zaidi ya kibamiaCha ajabu ana limwili kubwa alafu upstairs . . . . . . .
Itabidi tutembee na mitano tena hadi tutakapo ona mabadiliko ya katibaWale wa mitano tena [emoji2772]sasa hivi tuweke kauli mbiu gani jamani[emoji849][emoji849]
Juzi tu baada ya kupewa ubunge kule makambako akaja bungeni akashika Biblia akaapa kuilinda Katiba. Leo anatoa hoja ya kuivunja Katiba. Tumweleweje?"Rais wetu Dkt. Magufuli amefanya kazi kubwa, ombi langu hapa ndani atake asitake tumuongezee muda ili aweze kufanya kazi yake vizuri ili mipango aliyoipanga ikamilike, nilisema kipindi fulani hata China walifanya hivyo si dhambi kumuongezea anayefanya vizuri" - Deo Sanga
#Bungeni
View attachment 1693592
Kumekucha sasa lile bunge la kijani linaanza kazi waliyoipigania.
Deo Sanga, unapo ongea unajisikiliza?
Hujui unachoamini unajua!Halafu COVID-19 jamani inachukua watu wazuri tu inatuachia haya matakataka? Zee pumbavu sana hili! Halafu Magu na yeye anauchuna tu bila kuwakaripia? Hatutaruhusu upumbavu huo, yeye amalize miaka yake tu atembee tunajua imebaki miaka minne tu full stop!
MBUNGE WA MAKAMBAKO AT
Mbunge wa Makambako, Deo Sanga amesema Rais Magufuli amefanya kazi kubwa katika nafasi yake ya Urais.
Ametoa ombi la kuongezewa muda wa kubaki madarakani kama Rais ili mipango anayoendelea nayo aweze kuikamilisha.
Ameomba aongezewe muda hata kama asipotaka. Amesema hata China waliwahi kufanya hivyo kipindi fulani katika historia.
Nimeangalia CV yake kwenye tovuti ya bunge. Angeulizwa " wewe wasema hayo kwa nafsi yako au wengine wamekuambia hivyo?". Nadhani wabunge wasomi wako wengi sana,ingependeza kukawa kunajengwa hoja za kuongeza pato la taifa,kukuza uchumi, kukuza kipato cha mtu mmoja mmoja, namna ya kujenga tax base kwa kuongeza middle income earners n.k. kifanyike kitu gani ili viwanda baadala ya kupelekwa China vije Tanzania, kifanyike maandalizi gani ili kweli kuwe na kuvutia wawekezaji wakubwa hapa kwa maana ya wafanyakazi ,kielimu,kitabia, kitamaduni, kimtazamo wa kizalendo au bora liende n.k.Je kutakuwa na tofauti kiasi gani cha bei ya umeme baada ya bwawa la umeme selous kukamilika, je SGR itakuza uchumi kwa kiasi gani na wananchi wa makambako wategemee nini. Natumaini wanalipwa kwa kuisimamia na kuishauri serikali na siyo vinginevyo. Natamani kusikia hoja za kuleta maendeleo na siyo kupeana sifa. Sifa huja baada ya kazi na siyo mwanzo.Sasa jamani mtu kama Deo Sanga ombeni Kwanza hata CV yake ndiyo utajua uwezo wake wa kufikiri unakoma hapo.Lakini mimi wakati mwingine upumbavu kama huu wanaulea CCM wenyewe.Mtu anaongelea pumba kama zile nikumchana tu.
Nijuavyo Mimi CCM ni chama chenye hazina kubwa sana ya viongozi ndiyo maana hata huyo JPM alipatikana huko na kufanya hayo makubwa yanayosemwa .
Sasa kama ni hivyo hakuna haja yakuanza kusema eti oooh..amalizie ...ni ujinga tu.Inamaana Tanzania nzima hii hakuna mtanzania anayeweza Fanya haya kabisa?
Mbona hii ni ajabu.
Ifike mahala tuwe tunaongeleayale tuliyotumwa na wananchi kufanya .Yaani Leo Kwanza ndiyo mwaka wa Kwanza tu wa mhula wa pili wa Rais madarakani jitu linaanza kupigia chapuo kubadili katiba.Kama haja hiyo ipo si msubiri japo hata mwaka 2024 huko?.Leo hii mapema hivi haraka ya nini?
Acha ujinga basi. Baadae mnaanza kulalamika tena tunamkosoa bosi wenu bila staha, sijui bla bla gani.Natoa wito kwa watanzania wote ikibidi tufanye maandamano yasiyo na kikomo kumlazimisha mh rais kuongeza muda..hii ni kwa maslahi mapana ya taifa..MTU ameitoa nchi matopeni kwenye lindi la rushwa,umaskini,ufisadi,ujinga,utegemezi n.k na kuipaisha hadi nchi yenye neema tele ndege,elimu bure,ajira,uwajibikaji,afya bora,miundombinu,uwazi,demokrasia na shibe harafu tumwachie eti kwa matakwa ya maandishi tu nyie mwayaita katiba..hakuna katiba iliyo juu ya maslahi ya umma...niko tayali kuandamana hata ikibidi nipigwe risasi nife kutetea maslahi ya watu..narudia ALAZIMISHWE AONGEZA WALAU MIAKA 20
Tufute katiba na kumfanya mfalme wa maisha na akifa mtoto wake amrithi ufalme basi tumalize ubishi kabisa, itapendeza zaidi.Natoa wito kwa watanzania wote ikibidi tufanye maandamano yasiyo na kikomo kumlazimisha mh rais kuongeza muda..hii ni kwa maslahi mapana ya taifa..MTU ameitoa nchi matopeni kwenye lindi la rushwa,umaskini,ufisadi,ujinga,utegemezi n.k na kuipaisha hadi nchi yenye neema tele ndege,elimu bure,ajira,uwajibikaji,afya bora,miundombinu,uwazi,demokrasia na shibe harafu tumwachie eti kwa matakwa ya maandishi tu nyie mwayaita katiba..hakuna katiba iliyo juu ya maslahi ya umma...niko tayali kuandamana hata ikibidi nipigwe risasi nife kutetea maslahi ya watu..narudia ALAZIMISHWE AONGEZA WALAU MIAKA 20