Pre GE2025 Deo Sanga: Wanaosema CCM tulikosea kumpitisha Samia, waende Vyama vingine bado havijateua wagombea huko

Pre GE2025 Deo Sanga: Wanaosema CCM tulikosea kumpitisha Samia, waende Vyama vingine bado havijateua wagombea huko

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mbunge wa Jimbo la Makambako Mkoani Njombe Deo Sanga (Jah People) amesema kuwa wale wanaosema CCM kumpitisha Samia, waende Vyama vingine bado havijateua wagombea wakashauri huko

Amesisitiza CCM chama kimeamua kwa kauli moja kumuunga mkono Rais Samia.

Back
Top Bottom