Mbunge wa Jimbo la Makambako Mkoani Njombe Deo Sanga (Jah People) amesema kuwa wale wanaosema CCM kumpitisha Samia, waende Vyama vingine bado havijateua wagombea wakashauri huko
Amesisitiza CCM chama kimeamua kwa kauli moja kumuunga mkono Rais Samia.