The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Mwenyekiti wa kamati ya Kudumu ya Bunge viwanda, biashara, Kilimo na Uvuvi Deodatus Mwanyika amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan mara baada ya Uchaguzi Mkuu amrejeshe katika nafasi yake ya uwaziri wa Kilimo,Hussein Bashe Ili aendeleze mazuri yanayofanyika katika Wizara hiyo.
Ombi hilo amelitoa leo April 28,2025 mbele ya Rais Samia,wakati akizungumza kwenye uzinduzi wa benki ya Ushirika.
Mwanyika mbaye alimwakilisha Spika wa Bunge,DKt Tulia Ackson amesema Wizara ya Kilimo imefanya mambo makubwa chini ya Waziri Bashe.
Amesema mara baada ya Uchaguzi Mkuu anamuomba Rais Samia amrejeshe katika nafasi yake Bashe Ili aweze kutelekeza Kwa vitendo yale mazuri ambayo ameanza nayo.
"Bashe aendelee kuwa Waziri tunamategemeo makubwa kwani Wizara inahitaji mtu makini,"amesema Mwanyika.