'Deogratias John Ndejembi' tukiacha asili yake, ana sifa gani za maana kwa cheo kikubwa kama hicho?

Father of All

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2026
Posts
458
Reaction score
843
1787856862210.png

Kichwa cha habari hapo juu kiko wazi. Nina mambo kadhaa nayaangalia tokana na 'uteuzi' wa mhusika.

Mosi, ana sifa gani ki-CCM zaidi ya kuwa mjukuu wa MCCM na kibaraka wa mama?

Pili, kwanini yeye na si makada wengine welevu na wakongwe?

Tatu, ameshindanishwa na nani?

Nne, zaidi ya uanagezi, uchawa, na kupwaya, ni vigezo gani vilivyotumika kumteua au kuna mtu nyuma ya pazia anayetanguliza kikaragosi chake?

Tano, je, anaandaliwa kusafisha njia ya mwingine hasa Bashiti kwa kutumia ujana na uchawa?
Sita, ametoa mchango gani kichama na kiinchi?

Saba, je, ameteuliwa kuwazuga vijana waliouawa na kuumizwa Oktoba 29?

Nane, mbona hatupewi wasfu wake mzima bila kukoleza wala kupunguza chochote?

Tisa, kuna nini kinafichwa?

Wanangu nawasilisha ongezeni maswali yenu.
 
View attachment 3658362

Poii, kwanini yeye na si makada wengine welevu na wakongwe?
Tatu, ameshindanishwa na nani?
Nne, zaidi ya uanagezi, uchawa, na kupwaya, ni vigezo gani vilivyotumika kumteua au kuna mtu nyuma ya pazia anayetanguliza kikaragosi chake?
Tano, je, anaandaliwa kusafisha njia ya mwingine hasa Bashiti kwa kutumia ujana na uchawa?
Sita, ametoa mchango gani kichama na kiinchi?
Saba, je, ameteuliwa kuwazuga vijana waliouawa na kuumizwa Oktoba 29?
Nane, mbona hatupewi wasfu wake mzima bila kukoleza wala kupunguza chochote?
Tisa, kuna nini kinafichwa?
Wanangu nawasilisha ongezeni maswali yenu.
Kusema kweli Makamu wa Rais anatakiwa kuwa mtu Mkomavu asiyetiliwa shaka na mwenye uwezo wa kuwa Rais lolote likitokea.
 
Imagine tukikutwa na janga kama la 2021 maana yake jamaa anakuwa Rais. Hii nchi inatia huruma aisee
Ipo hivi mkuu. Tangu enzi CCM wana tabia ya kuweka watu wasio na ambition kwenye nafasi ya VP. Mtu wa kukubali chochote.

Ni juzi ndo walijichanganya kwa Imma, ambaye anaonekana na vimaneno vinavyopingana na mwenyekiti. Nadhani kwa kumweka Deo ni kurekebisha kosa walilifanya. Yes likitokea Deo Rais!
 
View attachment 3658362
Kichwa cha habari hapo juu kiko wazi. Nina mambo kadhaa nayaangalia tokana na 'uteuzi' wa mhusika.

Mosi, ana sifa gani ki-CCM zaidi ya kuwa mjukuu wa MCCM na kibaraka wa mama?

Pili, kwanini yeye na si makada wengine welevu na wakongwe?

Tatu, ameshindanishwa na nani?

Nne, zaidi ya uanagezi, uchawa, na kupwaya, ni vigezo gani vilivyotumika kumteua au kuna mtu nyuma ya pazia anayetanguliza kikaragosi chake?

Tano, je, anaandaliwa kusafisha njia ya mwingine hasa Bashiti kwa kutumia ujana na uchawa?
Sita, ametoa mchango gani kichama na kiinchi?

Saba, je, ameteuliwa kuwazuga vijana waliouawa na kuumizwa Oktoba 29?

Nane, mbona hatupewi wasfu wake mzima bila kukoleza wala kupunguza chochote?

Tisa, kuna nini kinafichwa?

Wanangu nawasilisha ongezeni maswali yenu.
Tanganyika inapigwa shoo kinyama ili kuna mengi along the way

Ukombozi huja na matukio ya hivi
Anybody can be anything
 
Wabongo huwa sio watu wa kujiamini ndio maana hata tukiangalia Kenya na Uganda, wananchi wao wamejaa kama madokta na maengineer ulaya na US, ila mibongo ni kama mikondoo fulani, hawajiamini kabisa na wao wanaweza.
Kwahiyo muda mwingi kukaa vijiweni kumjadili mtu huyu hivi, huyu vile, mimbulala kabisa
 
View attachment 3658362
Kichwa cha habari hapo juu kiko wazi. Nina mambo kadhaa nayaangalia tokana na 'uteuzi' wa mhusika.

Mosi, ana sifa gani ki-CCM zaidi ya kuwa mjukuu wa MCCM na kibaraka wa mama?

Pili, kwanini yeye na si makada wengine welevu na wakongwe?

Tatu, ameshindanishwa na nani?

Nne, zaidi ya uanagezi, uchawa, na kupwaya, ni vigezo gani vilivyotumika kumteua au kuna mtu nyuma ya pazia anayetanguliza kikaragosi chake?

Tano, je, anaandaliwa kusafisha njia ya mwingine hasa Bashiti kwa kutumia ujana na uchawa?
Sita, ametoa mchango gani kichama na kiinchi?

Saba, je, ameteuliwa kuwazuga vijana waliouawa na kuumizwa Oktoba 29?

Nane, mbona hatupewi wasfu wake mzima bila kukoleza wala kupunguza chochote?

Tisa, kuna nini kinafichwa?

Wanangu nawasilisha ongezeni maswali yenu.
Hana la.maana zaidi wanachotafuta utiii tuuu na unyenyekevu kwa bosi
 
Nadhani ndiyo yaleyale ya JPM kuwa na VP asiyetosha hata kuwa diwani wa kata yenye sophisticated people!
 
Back
Top Bottom