Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Wewe unaona Kati ya huyu na Ndejembi Nani ana nafuu?Imagine tukikutwa na janga kama la 2021 maana yake jamaa anakuwa Rais. Hii nchi inatia huruma aisee
Wewe unaona Kati ya huyu na Ndejembi Nani ana nafuu?Imagine tukikutwa na janga kama la 2021 maana yake jamaa anakuwa Rais. Hii nchi inatia huruma aisee
Bora huyu kuliko aliyepo au watanganyika mnaona Bora mzanzibar kuliko mtanganyika?Likitokea lolote uyu ndo atakuwa raisi?, mwe natamani adi kulia
Mimi sijalinganisha mtu. Nimelinganisha na standards.Wewe unaona Kati ya huyu na Ndejembi Nani ana nafuu?
Ni Muingereza mwenye asili ya Tanganyika na Zanzibar.Ni mzanzibar?
Kama unaamini Lissu anaweza kuwa hata Mwenyekiti wa Chadema, basi ujue Deo Ndejembi anaweza kuwa hata Katibu Mkuu wa UN, achilia mbali Umakamu Rais!Imagine tukikutwa na janga kama la 2021 maana yake jamaa anakuwa Rais. Hii nchi inatia huruma aisee
Kama mama chaawa ameweza hata kuku anaweza achilia mbali hii takatakaaaLikitokea lolote uyu ndo atakuwa raisi?, mwe natamani adi kulia
Hana tofauti na mama Abdul.Nakazia namba sita. Ametoa mchango Gani kwa nchi yake mpaka tumuamini kwenye nafasi adhimu Kama hiyo