Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Hata wewe ukipitishwa na Ccm utakuwa rais hata kama hauna vyeti.View attachment 3658362
Kichwa cha habari hapo juu kiko wazi. Nina mambo kadhaa nayaangalia tokana na 'uteuzi' wa mhusika.
Mosi, ana sifa gani ki-CCM zaidi ya kuwa mjukuu wa MCCM na kibaraka wa mama?
Pili, kwanini yeye na si makada wengine welevu na wakongwe?
Tatu, ameshindanishwa na nani?
Nne, zaidi ya uanagezi, uchawa, na kupwaya, ni vigezo gani vilivyotumika kumteua au kuna mtu nyuma ya pazia anayetanguliza kikaragosi chake?
Tano, je, anaandaliwa kusafisha njia ya mwingine hasa Bashiti kwa kutumia ujana na uchawa?
Sita, ametoa mchango gani kichama na kiinchi?
Saba, je, ameteuliwa kuwazuga vijana waliouawa na kuumizwa Oktoba 29?
Nane, mbona hatupewi wasfu wake mzima bila kukoleza wala kupunguza chochote?
Tisa, kuna nini kinafichwa?
Wanangu nawasilisha ongezeni maswali yenu.
Tanzania sifa kubwa ya uongozi ni kuwa mwanaccm haijalishi kama ni kichaa au la, hata wewe CCM ikikupitisha utakuwa rais na utatawala mpaka utakapochoka, hii ndiyo raha ya kutokuwa na katiba.View attachment 3658362