Father of All
JF-Expert Member
- May 30, 2026
- 458
- 843
Kusema kweli Makamu wa Rais anatakiwa kuwa mtu Mkomavu asiyetiliwa shaka na mwenye uwezo wa kuwa Rais lolote likitokea.View attachment 3658362
Kichwa cha habari hapo juu kiko wazi. Nina mambo kadhaa nayaangalia tokana na 'uteuzi' wa mhusika.
Mosi, ana sifa gani ki-CCM zaidi ya kuwa mjukuu wa MCCM na kibaraka wa mama?
Poii, kwanini yeye na si makada wengine welevu na wakongwe?
Tatu, ameshindanishwa na nani?
Nne, zaidi ya uanagezi, uchawa, na kupwaya, ni vigezo gani vilivyotumika kumteua au kuna mtu nyuma ya pazia anayetanguliza kikaragosi chake?
Tano, je, anaandaliwa kusafisha njia ya mwingine hasa Bashiti kwa kutumia ujana na uchawa?
Sita, ametoa mchango gani kichama na kiinchi?
Saba, je, ameteuliwa kuwazuga vijana waliouawa na kuumizwa Oktoba 29?
Nane, mbona hatupewi wasfu wake mzima bila kukoleza wala kupunguza chochote?
Tisa, kuna nini kinafichwa?
Wanangu nawasilisha ongezeni maswali yenu.
AiseeeeeeImagine tukikutwa na janga kama la 2021 maana yake jamaa anakuwa Rais. Hii nchi inatia huruma aisee
Ipo hivi mkuu. Tangu enzi CCM wana tabia ya kuweka watu wasio na ambition kwenye nafasi ya VP. Mtu wa kukubali chochote.Imagine tukikutwa na janga kama la 2021 maana yake jamaa anakuwa Rais. Hii nchi inatia huruma aisee
Tanganyika inapigwa shoo kinyama ili kuna mengi along the wayView attachment 3658362
Kichwa cha habari hapo juu kiko wazi. Nina mambo kadhaa nayaangalia tokana na 'uteuzi' wa mhusika.
Mosi, ana sifa gani ki-CCM zaidi ya kuwa mjukuu wa MCCM na kibaraka wa mama?
Pili, kwanini yeye na si makada wengine welevu na wakongwe?
Tatu, ameshindanishwa na nani?
Nne, zaidi ya uanagezi, uchawa, na kupwaya, ni vigezo gani vilivyotumika kumteua au kuna mtu nyuma ya pazia anayetanguliza kikaragosi chake?
Tano, je, anaandaliwa kusafisha njia ya mwingine hasa Bashiti kwa kutumia ujana na uchawa?
Sita, ametoa mchango gani kichama na kiinchi?
Saba, je, ameteuliwa kuwazuga vijana waliouawa na kuumizwa Oktoba 29?
Nane, mbona hatupewi wasfu wake mzima bila kukoleza wala kupunguza chochote?
Tisa, kuna nini kinafichwa?
Wanangu nawasilisha ongezeni maswali yenu.
Nadhami ukiongea bila matusi inapendeza pia.Hoja ya kipumbavu kabisa
Ni kweli hasa kama anayeiona ya kipumbavu si mpumbavu tu bali chawa na zwazwa kama wewe. Shukrani kwa kuonyesha uzwazwa na uchawa wako wa kiwango cha lami.Hoja ya kipumbavu kabisa
Hana la.maana zaidi wanachotafuta utiii tuuu na unyenyekevu kwa bosiView attachment 3658362
Kichwa cha habari hapo juu kiko wazi. Nina mambo kadhaa nayaangalia tokana na 'uteuzi' wa mhusika.
Mosi, ana sifa gani ki-CCM zaidi ya kuwa mjukuu wa MCCM na kibaraka wa mama?
Pili, kwanini yeye na si makada wengine welevu na wakongwe?
Tatu, ameshindanishwa na nani?
Nne, zaidi ya uanagezi, uchawa, na kupwaya, ni vigezo gani vilivyotumika kumteua au kuna mtu nyuma ya pazia anayetanguliza kikaragosi chake?
Tano, je, anaandaliwa kusafisha njia ya mwingine hasa Bashiti kwa kutumia ujana na uchawa?
Sita, ametoa mchango gani kichama na kiinchi?
Saba, je, ameteuliwa kuwazuga vijana waliouawa na kuumizwa Oktoba 29?
Nane, mbona hatupewi wasfu wake mzima bila kukoleza wala kupunguza chochote?
Tisa, kuna nini kinafichwa?
Wanangu nawasilisha ongezeni maswali yenu.
Ukiona hiyo kampuni jua yule mwarabu kawekwa tu, kwaiyo mwanamtandao maana alianzia kule kwa asiyetaka kustaafuHuyo atakuwa Ana report GSM alipotokea
Nadhani ndiyo yaleyale ya JPM kuwa na VP asiyetosha hata kuwa diwani wa kata yenye sophisticated people!View attachment 3658362