'Deogratias John Ndejembi' tukiacha asili yake, ana sifa gani za maana kwa cheo kikubwa kama hicho?

Hata wewe ukipitishwa na Ccm utakuwa rais hata kama hauna vyeti.
Tanzania sifa kubwa ya uongozi ni kuwa mwanaccm haijalishi kama ni kichaa au la, hata wewe CCM ikikupitisha utakuwa rais na utatawala mpaka utakapochoka, hii ndiyo raha ya kutokuwa na katiba.
 
Imagine tukikutwa na janga kama la 2021 maana yake jamaa anakuwa Rais. Hii nchi inatia huruma aisee
Tuko milioni zaidi ya 60! Na wote tumewekwa kwenye kundi moja na ng'ombe, kondoo, nyumbu, nyani, mbuzi, bata, kuku, nk. na binadamu wachache wanaojiona wana haki zote za kutuweka kwenye kundi hilo.

Hakika inasikitisha sana. Tunatakiwa kujitafakari kwenye hili.
 
Meneja wa Kanda, mix by Yas
 
Itakuwa kasheshe sana😂😂😂😂😂
Itakuwa ni kasheshe kupita hata ile ya 2021
 
Kwani aliempendekeza alikuwa na sifa gani zaidi ya kuwa mtiifu katika chama?
 
Vip ww ambae ni DR U S umefanya nni kma kijana au bint
 
Atakuwa ana wakati mgumu sana, kwa haya yanayotokea sijui kama atatoboa kwenye nchi hii. Mpango hakuweza kuendelea, Nchimbi alijiuzulu, huyu anayekuja utakuwa ni muendelezo huo huo. Hakuna litakalobadilika, hadi makamu wa rais anakuwa censored, ni ngumu sana ndugu zangu watanganyika.
Leo huduma za afya ni za ovyo, bima ni ghali kwa kila mmoja wetu, nani anaye uwezo wa kulipa laki 7 hadi laki 9 kwa mwaka, maisha yamepanda kwa kiasi kikubwa, mafuta ndiyo hayashikiki kwa bei. Watanganyika maisha yanaendelea kuwaumiza, kundi lililopo madarakani halijali, wao wanaendelea kujinufaisha, Pesa zinaendelea kuibwa, kwani wanajali? Nchi imekuwa ya ovyo, pesa zinaibwa kila mahali, TANAPA, TAWA, TAFORI nk, hakuna sehemu nafuu ndugu zangu watanganyika. Samia na wenzake wameshajitajirisha kupita kiasi......Hawajali watanganyika mfe au msife, yeye yupo Tunguu, Zanzibar akiendelea kupiga pesa na marafiki zake, it is shame kuwa na mtu kama huyo kwenye madaraka ya nchi yetu, TUNAENDELEA KUPIGWA, Hawajali kinachoendelea kutokea.
 
Kwani Samia naye ana sifa gani? Kuongoza Tanzania hakuhitaji sifa, uwezo, uzalendo wala akili. Mjinga yoyote anaweza kupewa uongozi na mikondoo ya Kitanganyika ikakubali tu.
 
The cherry on top mmeletewa Ndejembi wa Kipemba, Samia is holding four aces yaani Watanganyika na Tanganyika yao wataendelea tu kulawitiwa na Zanzibar mpaka maji wataita mma.
 
Sifa kubwa inayotakiwa kwa sasa ni kuwa fisadi na chawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…