Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 6,350
- 11,727
Yaani huyo naye ndiye mjinga kabisa anafikiri kudhalilisha watu ndiyo uongozi, sasa hapo Bishanga alikuwa na lipi la kujibu na kasema walipanga na waziri kuzima moto usiku kucha, kosa ni la meneja au waziri mwenye dhamana?Huyo ndejembi Hana muda nakuhakikishieni hanganya Hua hapendi watu wa kuhoji hoji yeye anataka kama mmeamua muwe wezi basi Ni kuiba kwenda mbele mambo ya kuhoji hoji ili kujisafisha kisiasa hataki
Hata mwigulu Kazi anayo unajifanya mzalendo kwa hanganya