Deogratius Ndejembi akerwa na taarifa ya udanganyifu wa TANROADS Mbeya

Yaani huyo naye ndiye mjinga kabisa anafikiri kudhalilisha watu ndiyo uongozi, sasa hapo Bishanga alikuwa na lipi la kujibu na kasema walipanga na waziri kuzima moto usiku kucha, kosa ni la meneja au waziri mwenye dhamana?
 
Tatizo ccm hawataki watu wenye akili waluo serious na maendeleonya nchi hii.
Japo sina uhakika kama huyo makamu ana akili wala kama yupo serious. Maana hawa wote ni waigizaji tu
Bishanga ni mtu mmoja anafanya kazi nzuri mnoo na ndiyo maana alitolewa songwe akaletwa jijini, huku nako anakutana na siasa tu hakuna kinachoendelea, hadi anatamani angekuwa Eng tu wa kawaida pale makao makuu akisoma magazeti kuliko jumba bovu walilomwangushia
 
Hujui kama report zake huwa zinategemea waziri wake wa ujenzi? Unafikiri kuwa meneja basi ni mkoa tu unapewa unafanya vile unataka? Vikao wanakaa sana na hao hao viongozi ikija issue ya ziara hizo kauli za waziri ndizo meneja wa mkoa atatumia, nikuulize kwanza umewahi kufanya kazi ndani ya hiyo mamlaka ukajua hata abc za juu juu tu?
 
Umewahi kufanya kazi Tanroads? Umewahi kujua meneja wa Tanroads anafanyaje kazi? Umewahi kujua fedha zinaingiaje kwa ajili ya miradi? Ungefyata tu ndugu yangu yule jamaa alisema "no research no right to speak"
Unawezakuta wewe ndio hujui kitu au unatetea maslahi yako. Naijua vizuru Tanroads Mbeya na huyo my wako Bii.Shanga
 
Meneja kazi yake kusaini certificate ambazo zimekamilika na kutuma kwa mlipaji atume vocha za malipo basi meneja mnamuonea bure
Ukiwa nje na hauna info zozote ukiangalia hizo drama hapo hakuna hata cha kung'amua unafikiri kuna lolote utajua mkuu? Sasa hapo wamesimama kujikosha kwa wananchi as if hawajui lolote imbwa hizo
 
Kutolewa Songwe kuletwa mbeya maana yake ndio mzuri eti? Huo ni utaratibu wa kawaida kabisa wa uhamishwaji na uzungushwaji wa vichwa maji serikakini. Ukiharibu hapa unapelekwa pale
 
Unawezakuta wewe ndio hujui kitu au unatetea maslahi yako. Naijua vizuru Tanroads Mbeya na huyo my wako Bii.Shanga
Umewahi kuwa ndani ya Tanroads au ni mtu uko chini ya mkandarasi tuanzie hapo, na unajua nini juu ya fedha za mradi zinapitia wapi na zinakuja kwa wakati gani na meneja ana mamlaka yapi juu ya hizo fedha
 
Kutolewa Songwe kuletwa mbeya maana yake ndio mzuri eti? Huo ni utaratibu wa kawaida kabisa wa uhamishwaji na uzungushwaji wa vichwa maji serikakini. Ukiharibu hapa unapelekwa pale
Sio kweli ndugu, angekuwa wa kuharibu asingepewa jiji, labda wangemrudisha hukoo kigoma alikotoka, tulia ukipata nafasi ya kufanya kazi ndani ya mamlaka yoyote ya serikali ndo utajua what it means mkuu, meneja anaonewa tu yale yalikuwa ya waziri kujibu
 
Umewahi kuwa ndani ya Tanroads au ni mtu uko chini ya mkandarasi tuanzie hapo,
Mbona unajaribu kuni position pa kukaa?πŸ˜‚.
Kwamba unataka nikutajie mimi naongea kama nani ili iweje?.
I know Tanroads Mbeya n i know that man, sio tu kikazi mpaka personally ,tokea Kagera hukoo.
Tuishie hapa
 
Ofcourse, kwa yale ya jana inahulikana ni drama tu za siasa hilo liko wazi.
Nazungumzua my interaction na Tanroads mbeya katika project setups. Acha acha kabisaaa.. hao Pmu mpaka wahasibu, acha kabisaaa. Hiyo sasa ndio mikono ya mameneja wa Tanroads
 
Suala la yeye personally tuachane nalo, tufanye tu unaujua utendaji wa Tanroads unaendaje au utendaje wowote wa mamlaka za serikali au ni kumlalamikia tu baba wa watu hujui anachopitia na hao wana siasa vile mkandarasi akichelewa kulipwa basi unajua shida iko kwa Bishanga
 
Ofcourse, kwa yale ya jana inahulikana ni drama tu za siasa hilo liko wazi.
Nazungumzua my interaction na Tanroads mbeya katika project setups. Acha acha kabisaaa.. hao Pmu mpaka wahasibu, acha kabisaaa. Hiyo sasa ndio mikono ya mameneja wa Tanroads
Unahisi Eng Bishanga yuko tofauti na managers waliopita hapo Mbeya kiutendaji na kiuwajibikaji? Unahisi anajiamlia kwenye utendaji kazi wake? Usilaumu vitu ambavyo hujaingia ukaviexperience ndugu
 
Usilaumu vitu ambavyo hujaingia ukaviexperience ndugu
Ahahaha. Hapa ndipo unanichosha kabisa, na ndivyo mko hiv watu wengi. Kumpimia mtu usiyemjua na kumuweka pale unaona wewe anafaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Unamkadiria experience yake, exposure yake, ujuzi wakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Jitahid uwe open minded unapo argue na watu usiowajua kijana
 
Umewahi kufanya kazi Tanroads? Umewahi kujua meneja wa Tanroads anafanyaje kazi? Umewahi kujua fedha zinaingiaje kwa ajili ya miradi? Ungefyata tu ndugu yangu yule jamaa alisema "no research no right to speak"
Tukitaka kuanza kuwekeana kila kitu wazi mkuu tutaharibu maisha ya watu.Unaweza kudhani unajua sana lakini kumbe watu wanajua mifumo iliyo nyuma zaidi ya unavyojua.
 
Wewe huna unachojua Ukiambiwa jamaa ni muongo muongo, tapeli na fisadi elewa.
Ukitaka ushahidi tembelea miradi aliyo isimamia akiwa mkoa wa Songwe.
Tunduma turning point
Ibungu-Kafwafwa
Ndembo-Ngana concrete carriageway
Chimbuya Parking
Luanda-Idiwili
Etc.
Bado madili ya kupitisha magari mazito nje ya mzani pale mpemba, Takukuru Songwe wanajua au mpigie Kamanda Mwakambonja alie kua head takukuru songwe anamjua vizuri Bishanga.
The guy is corrupt to the core.
 
Tukitaka kuanza kuwekeana kila kitu wazi mkuu tutaharibu maisha ya watu.Unaweza kudhani unajua sana lakini kumbe watu wanajua mifumo iliyo nyuma zaidi ya unavyojua.
Hawa machawa wanafikiri ni mpaka uwe Serikalini ndio unajua mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…