Deogratius Ndejembi ateuliwa kuwa Makamu wa Rais

Hii kweli ni breaking news yaani hajutarajiwa popote.
 
Kule wizara ya ardhi ameacha madudu na bado kuna ma file ameyashikilia hovyo sana huyo kijana. Mwizi sana huyo
Nina ushuhuda na hilo jambo kuhusu huyu dogo kwenye madudu yake japo wengi hawamzingatii labda kwa sababu sio mtu wa media sana ila ana uchafu mwingi sana tena hapo kwenye wizara aliyoteuliwa mwaka 2024 Ina uchafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…