Deogratius Ndejembi ateuliwa kuwa Makamu wa Rais

Mama anajaza vibenten vimzunguke ili asipate pressure kila akiamuka asubuhi asikie "shikamoo mama nchi iko shwari". Huku mwigulu huku Ndejembi.
 
Hongera nyingi kwake! Tunamtakia utumishi wa umma uliotukuka
 
Huyo dogo wanamuingiza kwenye lots of complications. Wangemuacha akue na siasa mpya wazee mmalizane vizuri. Hivi hivi wanamuweka kwenye njia ngumu sanaaaa
Angeteuliwa mzee wasira hapo mngelalama kwanini wazee wanaoenda kufa muda sio mrefu wanapewa shavu
Haya kateuliwa kijana kama motisha kwa vijana bado mnalalama
 
Huyu alikuwa "Mwenyekiti wa Wenyeviti".
 
Nchi ya kisultan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…