ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Kweli hakuna TYSON mjinga duniani, hiki kipigo ni cha mbwa mwiziView attachment 1367039
Anachonga sana, wakati ni bondia wa kawaida sana, halafu hana adabu.
Ana bahati sana refa kamuokoa angeachwa hadi round ya 8 angekufa kudadeki zake!
Bado kimbelembele mwingine anaitwa Antony Joshua, siku zake zinahesabika .
Ingawa nimeanza kufuatilia boxing hivi karibuni lakini hawa mabondia wa siku hizi wana viwango vya kawaida. Sijui kinachowabeba mpaka level za juu ni uwezo tu au kuna influence ya nje inatumika.
Uhusiano ni kwamba unashabikia mchezo usio na ufahamu nao kabisa!Sasa kuna uhusiano gani wa mm wa kujua kukunja ngumi?
Wilder kapigwa kama mbuzi! Nimesikitika sana mtu mweusi kupigwa na mzungu!Leo hawa mabondia kutoka UK na US wametifuana nimesoma kwenye mtandao Tyson Fury kutoka UK amemshinda Deontay Wilder kwa TKO raundi ya saba. Wale walofanikiwa kuuona live huu mpambano watupe tathmini kidogo hali ilivyokuwa, manake wengi walikuwa wanatupa karata kwa Deontay Wilder.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe na wewe ni mbaguzi wa rangi!Wilder kapigwa kama mbuzi! Nimesikitika sana mtu mweusi kupigwa na mzungu!
Ni mzalendo tuKumbe na wewe ni mbaguzi wa rangi!
Toka enzi za kina tyson sijawahi kuona tena ngumi za maana.
Nilikua nasikia watu wakiwazungumzia hawa wapiganaji nikasema ngoja labda nitafurahia kuangalia ngumi miaka mingi sijaangalia.
Nimeangalia nikajilaumu kupoteza muda wangu, hakuna ngumi kabisa, ni kuruka ruka na kukimbia kimbia tuu.
Sijui tena kwenye kizazi changu kama atakuja kutokea mtu kama Iron, Evander, Lenox, nk.
Huku heavy weight hakuna kitu kabisa.Ngumi kali na za ushindani zimehamia kwenye uzito wa kati,kuna vijana wapo vizuri sana ukicheki mapambano yao unaenjoy.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu ngoja kwanzaWilder kapigwa kama mbuzi! Nimesikitika sana mtu mweusi kupigwa na mzungu!
Mkuu tena wana style ya kumtegemea refa. Yani refa anafanya kazi kubwa kama naye ni mmojawapo wa wapiganaji. Nikitazama video za kina Foreman wanapigana mpaka unajiuliza kazi ya refa nini sasa kama si kutangaza mshindi. Hawa kina Joshua na Furry wanakumbatiana sana, nimesikitika kuona eti hii ni big match ya mwaka tena iliyokuwa ya mahasimu wa muda mrefu.Ukisemacho ni kweli mtupu mkuu!
Ukionacho ndio nikionacho.
Sasa huyo Klitschko alipigwa na AJ kama mtotoHuku heavy weight hakuna kitu kabisa.
Nimeangalia pambano la hao jama, kisha nikarudi kuangalia la kwanza nimeamini hakuna mpiganaji wa heavy weight wa maana zama hizi. Kuna yule anaitwa AJ ndio hakuna kitu kabisa.
Uingereza wapigaji ni Lenox na Haye tu, ila hawa kina AJ, Dereck Chisora, Fury, sijui nani hakuna kitu.
Zama zangu ngumi zimeishia kwa kina Vitali Klitchiko.
Ningoje nini? Wilder kachapwa anachuruzika damu mdomoni,masikioni. Saa hizi yuko hospitali kapumzishwa.Ebu ngoja kwanza
Jamaa ni wa hovyo sana, anapigwa kama mwanamke aiseeView attachment 1367039
Anachonga sana, wakati ni bondia wa kawaida sana, halafu hana adabu .
Ana bahati sana refa kamuokoa angeachwa hadi round ya 8 angekufa kudadeki zake !
Bado kimbelembele mwingine anaitwa Antony Joshua, siku zake zinahesabika .