Deontay Wilder vs Tyson Fury -2

Deontay Wilder vs Tyson Fury -2

Ningoje nini? Wilder kachapwa anachuruzika damu mdomoni,masikioni. Saa hizi yuko hospitali kapumzishwa.

Wilder angeshinda hawa wote wasemao pambano ni bovu wangesema pambano ni zuri na Wilder ni mzuri sana.
Da basi bwana nimeishiwa nguvu kabisa, kachapika kiasi hicho?sina haja hata ya kuiingalia video ya tukio maana ni kupeana machungu tu
 
Da basi bwana nimeishiwa nguvu kabisa,kachapika kiasi hicho?sina haja hata ya kuiingalia video ya tukio maana ni kupeana machungu tu
Mwamba kachapwa mpaka Kona yake wametupa taulo jeupe kumnusuru.
 
Aisee ni aibu mmatumbi anapigika namna ile.

Hapo zamani huwezi ona mambo kama haya, Kina Mohamed Ali walikuwa wanafanya ndoni kama njia ya kupambana na hao mabeberu na pia kama burudani na kujiongezea kipato.

Ila hawa wa sasa ni aibu tupu.
 
Aisee ni aibu mmatumbi anapigika namna ile.

Hapo zamani huwezi ona mambo kama haya, Kina Mohamed Ali walikuwa wanafanya ndoni kama njia ya kupambana na hao mabeberu na pia kama burudani na kujiongezea kipato.

Ila hawa wa sasa ni aibu tupu.
Da imeniuma sana kwa kweli,mtu mweusi kuchapwa na mzungu kwenye ndondi? Bonge la aibu kwa kweli
 
Mpambano mbovu sijapata ona.....! Masumbwi waliondoka nayo wakina Lennox Lewis,Evander Holyfield na Mike Iron Tyson
Ngumi hakuna kabisa siku hizi.

Siku hizi watu wanapigana na mavitambi na matumbo makubwa bado wanashinda, ngumi za wapi hizi?

Nilishaacha muda sana kuangalia ngumi kwa sababu hazina ladha kabisa.

Siku hizi ko raundi ya kwanza au ya pili ni chache sana.

Bora hata kuangalia mieleka ya kina wwe ingawa ya yenyewe sio ile tuliangalia zama za kina stone cold steve austin, the rock mavia, mankind mr saco,kane, chris benoit, latino heat, enzi za ruthless agression.
 
Kwakweli Wilder yule aliyekuwa anapromotiwa sidhani kama ni Yule aliyeingia MGM leo, hakuwa na mood ya mchezo kwa kifupi alipotea mapema.

Kachapika siyo mchezo, japo Wilder alitaka kuendelea kasema yeye ni "Warrior"
 
Wataalam wa huu mchezo tuelezeni,ni kitu gani huwakuta mabondia hodari ulingoni?hii ni mara ya ngapi sijui natabiri matokeo ya ajabu kwa kuwatazama tu saikolojia yao mwanzoni kabla ya pambano.
Siku Tyson anapigwa na Buster Japan niliona saikolojia yake haikuwa sawa.Siku Frank Bruno anapigwa na Tyson i saw it coming kwa sura tu ya Bruno before game!
Siku Klitschiko anagongwa na AJ nilimuona hakuwa sawa.Siku AJ anapigwa na kibonge ndio kabisa,nilimuona kapoa yaani nikajua leo kiama na ikawa hivyo.Same to Wielder jana,sio yule wa pambano la 2018 alipomchemsha Furry kidogo.Jana hakuwa anajiamini,mwili umepungua,saikolojia haikuwa sawa,hakuwa anadunda na kurusha ngumi combination,yaani ni kama mtu aliyekuja kutimiza ahadi ya kuchapwa. From the third round baada ya kupasuliwa ear drum ndio ikawa kama mlevi ameruka fence na kuingia kambi ya jeshi akakutana na MP anamsubiri kwa hamu!dah!huyu jamaa katuumbua sana jana!
Wana nini hawa mabondia wakubwa?
Pambano pekee nililoshuhudia mtu alipigwa akiwa sawa kiakili ni Lewis aliposhushwa chini na Rahman S.A.That was absolutely shocking!..na pambano ambalo sitalisahau kwa watu kuwa kwenye right mentality na kutengeneza one of the most brutal fight ni lile la Foreman na Holyfield juzi juzi hapa wakiwa tayari watu wazima!That fight was wow!
RRONDO
 
Fury will outbox Wilder.. Kwa uhakika, Wilder wala sio boxer mzuri, hajui kukwepa ngumi, hajui kupigana from inside, yeye anategemea kurusha right hand as a power puncher, hana kingine na boxing skills zake ndogo sana. Mtashagaa ingawa Fury sio mzuri sana but atampiga Wilder kilaini na kuweka history in the world of boxing. Wait and see
Kwel ulipatia kampiga kiulaini kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila shaka zitakuwa ngumi nzuri kama tu Tyson fury ataamua kupigana ngumi za kiume na sio kukimbiakimbia na ring au kukumbatia ili zifike 12round.

Sina shaka na Wilder, he is good fighter with good punch and always fighting for KO like Iron Mike Tyson..
Mmmmmh! sijui uliandika ukiwa unawaza nini mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fury will outbox Wilder. Kwa uhakika, Wilder wala sio boxer mzuri, hajui kukwepa ngumi, hajui kupigana from inside, yeye anategemea kurusha right hand as a power puncher, hana kingine na boxing skills zake ndogo sana. Mtashagaa ingawa Fury sio mzuri sana but atampiga Wilder kilaini na kuweka history in the world of boxing. Wait and see.
Hakika jamaa ulielewa mapema sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom