kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
Da basi bwana nimeishiwa nguvu kabisa, kachapika kiasi hicho?sina haja hata ya kuiingalia video ya tukio maana ni kupeana machungu tuNingoje nini? Wilder kachapwa anachuruzika damu mdomoni,masikioni. Saa hizi yuko hospitali kapumzishwa.
Wilder angeshinda hawa wote wasemao pambano ni bovu wangesema pambano ni zuri na Wilder ni mzuri sana.