Da basi bwana nimeishiwa nguvu kabisa, kachapika kiasi hicho?sina haja hata ya kuiingalia video ya tukio maana ni kupeana machungu tuNingoje nini? Wilder kachapwa anachuruzika damu mdomoni,masikioni. Saa hizi yuko hospitali kapumzishwa.
Wilder angeshinda hawa wote wasemao pambano ni bovu wangesema pambano ni zuri na Wilder ni mzuri sana.
Mwamba kachapwa mpaka Kona yake wametupa taulo jeupe kumnusuru.Da basi bwana nimeishiwa nguvu kabisa,kachapika kiasi hicho?sina haja hata ya kuiingalia video ya tukio maana ni kupeana machungu tu
Pole mkuu, kile kichapo cha mbwa koko kimeuma wengi
Da imeniuma sana kwa kweli,mtu mweusi kuchapwa na mzungu kwenye ndondi? Bonge la aibu kwa kweliAisee ni aibu mmatumbi anapigika namna ile.
Hapo zamani huwezi ona mambo kama haya, Kina Mohamed Ali walikuwa wanafanya ndoni kama njia ya kupambana na hao mabeberu na pia kama burudani na kujiongezea kipato.
Ila hawa wa sasa ni aibu tupu.
Tayari alikua alishazeeka, ni sawa na mwakinyo alivyompiga yule mzee wa Brazil kama sijakosea. Hakupigana nae yule jamaa akiwa kwenye peak yake.Sasa huyo Klitschko alipigwa na AJ kama mtoto
Kaokolewa na kocha wake sio refa, refa aliamua kumuacha afeView attachment 1367039
Anachonga sana , wakati ni bondia wa kawaida sana , halafu hana adabu .
Ana bahati sana refa kamuokoa angeachwa hadi round ya 8 angekufa kudadeki zake !
Bado kimbelembele mwingine anaitwa Antony Joshua , siku zake zinahesabika .
Hata mimiUkisemacho ni kweli mtupu mkuu!
Ukionacho ndio nikionacho.
Ngumi hakuna kabisa siku hizi.Mpambano mbovu sijapata ona.....! Masumbwi waliondoka nayo wakina Lennox Lewis,Evander Holyfield na Mike Iron Tyson
Duh!Wilder kapigwa kama mbuzi! Nimesikitika sana mtu mweusi kupigwa na mzungu!
Nimecheki Youtube hamna kituNgoja nizame U-tube nishuhudie huo mtifuano
Ningoje nini? Wilder kachapwa anachuruzika damu mdomoni,masikioni. Saa hizi yuko hospitali kapumzishwa.
Wilder angeshinda hawa wote wasemao pambano ni bovu wangesema pambano ni zuri na Wilder ni mzuri sana.
Game bado
Don't make a promise you can't fulfill...
Kwel ulipatia kampiga kiulaini kabisaFury will outbox Wilder.. Kwa uhakika, Wilder wala sio boxer mzuri, hajui kukwepa ngumi, hajui kupigana from inside, yeye anategemea kurusha right hand as a power puncher, hana kingine na boxing skills zake ndogo sana. Mtashagaa ingawa Fury sio mzuri sana but atampiga Wilder kilaini na kuweka history in the world of boxing. Wait and see
Mmmmmh! sijui uliandika ukiwa unawaza nini mkuuBila shaka zitakuwa ngumi nzuri kama tu Tyson fury ataamua kupigana ngumi za kiume na sio kukimbiakimbia na ring au kukumbatia ili zifike 12round.
Sina shaka na Wilder, he is good fighter with good punch and always fighting for KO like Iron Mike Tyson..
Hakika jamaa ulielewa mapema sanaFury will outbox Wilder. Kwa uhakika, Wilder wala sio boxer mzuri, hajui kukwepa ngumi, hajui kupigana from inside, yeye anategemea kurusha right hand as a power puncher, hana kingine na boxing skills zake ndogo sana. Mtashagaa ingawa Fury sio mzuri sana but atampiga Wilder kilaini na kuweka history in the world of boxing. Wait and see.