Deontay Wilder vs Tyson Fury -2


Jamaa alipigwa konde moja la kilo 100 mdomo hoiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
mambo ni mazito ila nimependa sana jamaa kuchapwa maana alikuwa na tambo saaana bila kufanya mazoezi ya uhakika maana mwenzie ameenda kujifua sana
 
View attachment 1368428
Jamaa alipigwa konde moja la kilo 100 mdomo hoiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Akipona zitapigwa Mtu km 10 Hivi na Hii kichwa,dogo aliingia kiwoga tu alikua na uwezo mzuri sana kumdondosha yule bwege.
Case study nikarudi kumcheck mike tyson alivyomdondosha Botha, na Kilschenko kwa uppercut mbaya.
Siku kakutana na Lennox Lewis alikula vipande mpaka mwenyewe kaomba poo katika historia ndo siku Tyson tunamuona anapigwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…