Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Itabidi thread za swaga kama hizi awe anazipitisha kwangu kwanza nizihakiki [emoji16][emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itabidi thread za swaga kama hizi awe anazipitisha kwangu kwanza nizihakiki [emoji16][emoji16][emoji16]
Aman iwe nanyi wakuu katika jukwaa
Ogopa sana eneo ambalo linaitwa kwa malikia baraka zipo za kutosha aisee
Ni ngumu sana kuiangusha English land hata ufanyeje na ni ngumu sana kumuangusha mtu yeyote kutoka England
Kwa kifupi England ndo mabeberu
Kuanzia football England ndo nchi ambayo league yake inatizamwa na kupendwa zaid ulingwenu
Mimi kama beira boy ingawa natokea nyampande lakini najivunia sana kuwa mtoto wa malikia, LONDON BOY
Hahahaaaa yaan wilder kachakazwa kama mtoto wa la kwanza hahahhahaaaa You know limubebez,limobomba nyenyeye hahahahhaaaa
Nacheka sana wapi Hance Mtanashati
England juu na tutaendelea kuwa juu hata mkiroga na ufalume hautaanguka daima
LONDON BOY
Dah pole sanaHata Brazil alifungwa 7-1 ila bado ni timu bingwa ya muda wote.
Akipona zitapigwa Mtu km 10 Hivi na Hii kichwa,dogo aliingia kiwoga tu alikua na uwezo mzuri sana kumdondosha yule bwege.View attachment 1368428
Jamaa alipigwa konde moja la kilo 100 mdomo hoi😂😂😂