Deontay Wilder vs Tyson Fury -2

Deontay Wilder vs Tyson Fury -2

[emoji23][emoji23] nimecheka kwa nguvu, msaidie ndugu yako bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
Itabidi thread za swaga kama hizi awe anazipitisha kwangu kwanza nizihakiki [emoji16][emoji16][emoji16]
Screenshot_20200224-125352~2.jpeg
 
Aman iwe nanyi wakuu katika jukwaa

Ogopa sana eneo ambalo linaitwa kwa malikia baraka zipo za kutosha aisee

Ni ngumu sana kuiangusha English land hata ufanyeje na ni ngumu sana kumuangusha mtu yeyote kutoka England

Kwa kifupi England ndo mabeberu

Kuanzia football England ndo nchi ambayo league yake inatizamwa na kupendwa zaid ulingwenu

Mimi kama beira boy ingawa natokea nyampande lakini najivunia sana kuwa mtoto wa malikia, LONDON BOY

Hahahaaaa yaan wilder kachakazwa kama mtoto wa la kwanza hahahhahaaaa You know limubebez,limobomba nyenyeye hahahahhaaaa

Nacheka sana wapi Hance Mtanashati



England juu na tutaendelea kuwa juu hata mkiroga na ufalume hautaanguka daima


LONDON BOY
IMG_20200224_211553.jpg

Jamaa alipigwa konde moja la kilo 100 mdomo hoi😂😂😂
 
mambo ni mazito ila nimependa sana jamaa kuchapwa maana alikuwa na tambo saaana bila kufanya mazoezi ya uhakika maana mwenzie ameenda kujifua sana
 
View attachment 1368428
Jamaa alipigwa konde moja la kilo 100 mdomo hoi😂😂😂
Akipona zitapigwa Mtu km 10 Hivi na Hii kichwa,dogo aliingia kiwoga tu alikua na uwezo mzuri sana kumdondosha yule bwege.
Case study nikarudi kumcheck mike tyson alivyomdondosha Botha, na Kilschenko kwa uppercut mbaya.
Siku kakutana na Lennox Lewis alikula vipande mpaka mwenyewe kaomba poo katika historia ndo siku Tyson tunamuona anapigwa tu.
 
Back
Top Bottom