Deontay Wilder vs Tyson Fury -2

Deontay Wilder vs Tyson Fury -2

Huku heavy weight hakuna kitu kabisa.

Nimeangalia pambano la hao jama, kisha nikarudi kuangalia la kwanza nimeamini hakuna mpiganaji wa heavy weight wa maana zama hizi. Kuna yule anaitwa AJ ndio hakuna kitu kabisa.

Uingereza wapigaji ni Lenox na Haye tu, ila hawa kina AJ, Dereck Chisora, Fury, sijui nani hakuna kitu.

Zama zangu ngumi zimeishia kwa kina Vitali Klitchiko.
Sasa mbona Huyo Klitschko alipigwa na furry vibaya Sana au wewe sio fan wa ndondi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpambano mbovu sijapata ona! Masumbwi waliondoka nayo wakina Lennox Lewis, Evander Holyfield na Mike Iron Tyson
Utakuwa una lako wewe mtu kapigwa mdomo umevunjika... Sikia limeathirika mpaka post fight conference hajatokea kwa kukimbizwa hospital unakuja kusema Hakuna ngumi siku hizi... Au ulitaka afie kwenye ring

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wilder alishapoteza pambano round ya 3 baada ya kupigwa ngumi ya sikio na kuanza kuvuja damu, akawa hana balance tena
Sema nilichoshangaa ni team yake kuendelea kumuacha jamaa apambane wakat wanaona ana hali mbaya kishapoteza angeweza ata kufa jana ndo maana refa aliamua kuingilia kati baada ya kuona jamaa anazidi kuwa hoi
 
Alipigwa kuanzia round ya kwanza , kocha wake alitupa towel mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndio racist. Mimi mawazo yangu mweusi ni stronger than white man. Ndio maana michezo mingi ya manguvu weusi wanaongoza.
Lionel Messi ni mweusi ... Ronaldo ni mweusi .... Furry ni mweusi ???

Kombe la dunia timu ngapi za weusi zimechukua ???.... Michuano ya Madola nchi za weusi huwa zinachukua tuzo ngapi ???

Wewe ni Pure racist full stop.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lionel Messi ni mweusi ... Ronaldo ni mweusi .... Furry ni mweusi ???

Kombe la dunia timu ngapi za weusi zimechukua ???.... Michuano ya Madola nchi za weusi huwa zinachukua tuzo ngapi ???

Wewe ni Pure racist full stop.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kichwa maji. Peleka stress zako huko!
 
Aman iwe nanyi wakuu katika jukwaa

Ogopa sana eneo ambalo linaitwa kwa malikia baraka zipo za kutosha aisee

Ni ngumu sana kuiangusha English land hata ufanyeje na ni ngumu sana kumuangusha mtu yeyote kutoka England

Kwa kifupi England ndo mabeberu

Kuanzia football England ndo nchi ambayo league yake inatizamwa na kupendwa zaid ulingwenu

Mimi kama beira boy ingawa natokea nyampande lakini najivunia sana kuwa mtoto wa malikia, LONDON BOY

Hahahaaaa yaan wilder kachakazwa kama mtoto wa la kwanza hahahhahaaaa You know limubebez,limobomba nyenyeye hahahahhaaaa

Nacheka sana wapi Hance Mtanashati

England juu na tutaendelea kuwa juu hata mkiroga na ufalume hautaanguka daima

LONDON BOY
 
Attachments

  • tapatalk_1580108726423.jpeg
    tapatalk_1580108726423.jpeg
    34.5 KB · Views: 3
Aman iwe nanyi wakuu katika jukwaa

Ogopa sana eneo ambalo linaitwa kwa malikia baraka zipo za kutosha aisee

Ni ngumu sana kuiangusha English land hata ufanyeje na ni ngumu sana kumuangusha mtu yeyote kutoka England

Kwa kifupi England ndo mabeberu

Kuanzia football England ndo nchi ambayo league yake inatizamwa na kupendwa zaid ulingwenu

Mimi kama beira boy ingawa natokea nyampande lakini najivunia sana kuwa mtoto wa malikia, LONDON BOY

Hahahaaaa yaan wilder kachakazwa kama mtoto wa la kwanza hahahhahaaaa You know limubebez,limobomba nyenyeye hahahahhaaaa

Nacheka sana wapi Hance Mtanashati

England juu na tutaendelea kuwa juu hata mkiroga na ufalume hautaanguka daima

LONDON BOYView attachment 1368338

Sent using Jamii Forums mobile app
Baghosha...

Unasifia Uingereza halafu unaweka bendera ya Marekani. Wasukuma sijui tunakwama wapi jamani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Aiseee we jamaa umenifanya niangue bonge la Cheko kwenye mti wa Mninga...

Hahahaaah! umeisifia sana uingereza, kama haitosh ukajivalisha na uprince, lakini maajabu bado una maluweluwe ya Pompeo...

Kwan bendera yenu huijui mkuu? au ndo "sturesi?"
 
Back
Top Bottom