Wee unajua depression ilivyo au kwakua unaiskia tu redioni na Tv ndo unaona anadeka!?.
Ukiwa na depression akili haifanyi kazi, huwezi kufikiria sawa sawa, unaona kama huna haki ya kuishi tena, Dunia Yako imesimama, unakuwa na mawazo hasi,, angalau yeye ameweza kujishkilia akasema shida yake ambapo ni hatua katika uponaji wake, wengi hujabeba moyoni maoni Yao na wanajikuta wanafanya maamuzi yasiyo sawa ( kujiua). Kama huna msaada chanya wa kimawazo katika shida za wengine ni busara kukaa kimya.
Mtu ana depression nawewe unamuongezea mawazo hasi. Mnaboa kweli watu msio na busara na hekima.