Depression inanimaliza, sina muda mrefu wa kuishi

Tangu 2019 mpaka sasa nasumbuka na msongo mkali wa mawazo, uoga ulipitiliza, panic attack, yaani nimekuwa kama mfu anaetembea, nilienda hospitali ya Mount Meru Arusha wakaniambia ni psychosis, wakanipa Haloperidol na Benzylhexol nikaanza kutumia ila zilinisaidia kwa wiki chache baada ya hapo hali ikawa mbaya zaidi ya mwanzo na nikawa nikitumia kichwa kinakuwa chepesi kupita kiasi kama nimelewa.

Nikaamua kuacha zile dawa kwa sasa naona sina muda mrefu wa kuishi, imechoka sana
Pole sana ndugu
Kwa kipindi kigumu unachopitia.
Am a Medical Doctor 💊 by professional
Nichek inbox Kwa msaada zaidi.
Mwenyezi Mungu akubariki.
 
Tangu 2019 mpaka sasa nasumbuka na msongo mkali wa mawazo, uoga ulipitiliza, panic attack, yaani nimekuwa kama mfu anaetembea, nilienda hospitali ya Mount Meru Arusha wakaniambia ni psychosis, wakanipa Haloperidol na Benzylhexol nikaanza kutumia ila zilinisaidia kwa wiki chache baada ya hapo hali ikawa mbaya zaidi ya mwanzo na nikawa nikitumia kichwa kinakuwa chepesi kupita kiasi kama nimelewa.

Nikaamua kuacha zile dawa kwa sasa naona sina muda mrefu wa kuishi, imechoka sana
Pole Sana mkuu , Kama bado upo hai jaribu kushare background ya tatizo lako ili usaidiwe Kwa urahisi .

Maana 2019-2024 ni six years sasa
 
Pole sana.
Fanya mazoezi, jifunze kupotezea na jichanganye na watu utapona
Broo,change your thinking,change your life,uko hvyo kutokana na yale unayoyafikiri kila wakat,so subconscious yako imejaa taarifa ambazo ni negative kutoka kwenye conscious yako,so palilia tabia ya kuwa mtu mwenye mtazamo chanya kwa kila jambo ata kama ni gumu kiasi gani,lipokee ktk mtazamo chanya na utaona utakavyokuwa mtu mpya,change your thinking,change your life mkuu.
 
Tangu 2019 mpaka sasa nasumbuka na msongo mkali wa mawazo, uoga ulipitiliza, panic attack, yaani nimekuwa kama mfu anaetembea, nilienda hospitali ya Mount Meru Arusha wakaniambia ni psychosis, wakanipa Haloperidol na Benzylhexol nikaanza kutumia ila zilinisaidia kwa wiki chache baada ya hapo hali ikawa mbaya zaidi ya mwanzo na nikawa nikitumia kichwa kinakuwa chepesi kupita kiasi kama nimelewa.

Nikaamua kuacha zile dawa kwa sasa naona sina muda mrefu wa kuishi, imechoka sana
Nitafute nikusaidie
 
Hata ukifanya ngono haitoki

yaan changanya masebene
ngono,bangi ,pombeee na kuruka viwanja huo msongo wa mawazo utausikia kwene tv
 
Tangu 2019 mpaka sasa nasumbuka na msongo mkali wa mawazo, uoga ulipitiliza, panic attack, yaani nimekuwa kama mfu anaetembea, nilienda hospitali ya Mount Meru Arusha wakaniambia ni psychosis, wakanipa Haloperidol na Benzylhexol nikaanza kutumia ila zilinisaidia kwa wiki chache baada ya hapo hali ikawa mbaya zaidi ya mwanzo na nikawa nikitumia kichwa kinakuwa chepesi kupita kiasi kama nimelewa.

Nikaamua kuacha zile dawa kwa sasa naona sina muda mrefu wa kuishi, imechoka sana
Pole sana. Umefanya vizuri ku-share tatizo lako kwani kusema shida yako kwa wengine ni mwanzo mzuri wa kuitatua. Lakini kumbuka kuwa ili uweze kutibu tatizo, inabidi kwanza ujue chanzo chake. Je chanzo cha tatizo lako unadhani ni nini? Ingekuwa vizuri ukatoa background yako kwanza na possible source ya unachopitia. Mwisho nikuambia kuwa kutumia dawa bila kujua chanzo cha tatizo na kukiepuka inaweza isisaidie sana.
 
Mkuu mi nina njaa sanaa! niweke lipa no ufanye jambo
Jaribu kupunguza UPUMBAVU wako kwenye maswala ya msingi yanayowahusu watu wengine… umekosa kazi za kufanya mtoto wa kiume?! kuja kutangaza njaa mitandaoni dhidi ya mada zinazowahusu wanaume wenzako?! UTAPAKWA LOTION UTELEZESHEWE DUDU MCHANA KWEUPE, JIANGALIE! Shauri zako
 
Tangu 2019 mpaka sasa nasumbuka na msongo mkali wa mawazo, uoga ulipitiliza, panic attack, yaani nimekuwa kama mfu anaetembea, nilienda hospitali ya Mount Meru Arusha wakaniambia ni psychosis, wakanipa Haloperidol na Benzylhexol nikaanza kutumia ila zilinisaidia kwa wiki chache baada ya hapo hali ikawa mbaya zaidi ya mwanzo na nikawa nikitumia kichwa kinakuwa chepesi kupita kiasi kama nimelewa.

Nikaamua kuacha zile dawa kwa sasa naona sina muda mrefu wa kuishi, imechoka sana
Smoke weed kula chakula unachokipenda shiba vizuri! Alafu kaa relax meditate utajiona umezaliwa upya na utaanza mambo yako upya kwa mikakati makini utakuja hapa kuleta ushuhuda
 
Tangu 2019 mpaka sasa nasumbuka na msongo mkali wa mawazo, uoga ulipitiliza, panic attack, yaani nimekuwa kama mfu anaetembea, nilienda hospitali ya Mount Meru Arusha wakaniambia ni psychosis, wakanipa Haloperidol na Benzylhexol nikaanza kutumia ila zilinisaidia kwa wiki chache baada ya hapo hali ikawa mbaya zaidi ya mwanzo na nikawa nikitumia kichwa kinakuwa chepesi kupita kiasi kama nimelewa.

Nikaamua kuacha zile dawa kwa sasa naona sina muda mrefu wa kuishi, imechoka sana
Pole sana Mkuu Kuna mambo mengi yako nyuma ya hiyo Depression.

Depression sio ugonjwa bali matokeonya jambo fulani ktk maisha yako.

Hayo hujayataja. Unahitaji Mtaalam atakayekupa muda wake mkazungumza kwa kina na kirefu zaidi.

Njoo Dar es salaam kutana na Wataalam wa afya ya akili.

Nenda kwa Dr Likindikoki pale Muhimbili au wengine.

Tunakuhitaji kama Taifa, we ni wa muhimi sana kwa Familia yako na jamii pia
 
Tangu 2019 umejishikilia mpaka leo hii ni hatua kubwa.

Kwenda hospitali ilikua step nzuri, kuamua kushare hapa ni step nzuri nyingine.

Umejitahidi kwa uwezo wako wote tafadhali ruhusu mtu mwingine akusaidie kubeba huu mzigo.

Kwenye huu uzi nimeona MD nimeona mtu yupo tayari kugharamia kuwaona wataalamu. Hawa ndiyo watu wameamua kusaidia kuubeba huu mzigo.

Please give them the chance.
 
Back
Top Bottom