Wanajf habar gani?
Mambo niaje pande hizo. Kazi iendelee na kwingine people powers.
Kimsingi ni kwamba hii vita ni kali
1. WALIO NDANI YA NDOA na WALIOTOKA KWENYE Ndoa
wanasema ukiona mwenzako kanyolewa zako tia maji
-Wengine wanasema wasiwasi ndo akili
- Wengine wanasema akikupenda mama inatosha
- Wengine wanasema huwezi kuujua utamu wa ngoma hadi uucheze
Tu jiulize wakuu? Kama ndoa haina faida ni kwanini (kwenye kipengele cha kuomba kazi lazima utakutana na Ile column ya Marital status either wajue aidha single or Married?
2. Kundi la pili Tunaotaka kuingia kwenye ndoa.
- Wengine wanasema "watoto wenye maadili mazuri mara" nyingi" ni wale wanaotoka taasisi ya ndoa
tunaamini hakuna record yoyote iliyo wahi kuripotiwa 'kuwa ndoa fulani ndio the best kuliko zote" hivo Tunaamini kwamba hapa duniani "Kasoro na changamoto" ni mojawapo ya kurasa/sehemu ya maisha.
Hoja ya msingi "ni kwamba kataa ndoa ni kama wanataka Ile msemo wa" Bora tukose wote" uwe na nguvu sana.
Jiulize we "kataa ndoa "Ile feeling unayokuwa nayo unapofanya kazi na mtu aliye oa! Kuna Ile ya kuamini/trust inakuwepo
Tofauti na unapofanya kazi na mtu ambaye hajaoa! (ingawa kuna baadhi ya kazi zinahitaji watu Wasio kwny ndoa) hazina excuse.