Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Sisi Yanga huwa uwezo wa kuingia uwanjani wengi hawana. Mara nyingi mpaka iwe bure au kiwango cha chini sana. Sijajua ni utamaduni wetu au ni nini.
Simba wanapenda sana kwenda Uwanjani. This time naona sababu sisi ndo host ni kama wana kamgomo flani. Hawaoneshi kabisa nia ya kuja uwanjani. Na sisi Yanga hali za mashabiki wetu ndo mpaka wapewe pesa na mjomba au n.k
Tufanye pambano liwe bure au angalau kila mwanayanga akija apate tsh 2000 ya nauli. Watu watakuja wengi sana na hatimaye tena watashihudia simba akipigwa bao si chini ya 2.