Derby kiingilio tufanye bure. Simba hawaonekani kutaka kuja Uwanja utapwaya sana

Akina Mzee Mpili sio?๐Ÿ˜…

Mzee aliyejipatia umaarufu akiwa kwenye Umri wa Kikokotoo cha Mtumishi wa Umma ๐Ÿ˜œ

Ndiyo maana huwa nasema muendelee kuwa na imani na Wazee, muda wowote tunaweza kutoboa maisha ๐Ÿ˜…
๐Ÿ˜‚ wazee tunawaamini hadi tunawapa dabi
 
Tupo vizuri, kwasasa Wazee wa Simba tumejifungia chimbo tunajaribu kupanga Karata zetu vizuri

Na dalili inaonesha Yanga atafungwa bao 2 Kwa 1

Ndiyo tupo tunapambana kujaribu kujua wafungaji watakuwa akina nani Kwa pande zote mbili ๐Ÿ˜œ
 
Jidanganyeni mrushiwe majini
 
UTo jichanganyeni muingie na matokeo yenu mfukoni - mtajuta.
 
Back
Top Bottom