Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Umepotea njia, yote uliyoyaandika hapa ni mammbo ya mashabiki wa Makolo.Mbona kuna Makala nyingi na Maneno mengi kuhusu mashabiki wa yanga.
1. Mashabiki wa yanga wengi wao hawakuwa na elimu kubwa(wengi walikuwa ni wajinhga hawana elimu)
2. Mashabiki wa yanga hawana Akili wenye akili ni wawili tu.
3. Mashabiki wa yanga wengi wao ni walala hoi Masikini hoe hae. Pangu pakavu.
BILA KULIPIWA KIINGILIO BILA KUPEWA USAFIRI HAWASAFIRI, HAWAENDI UWANJANI.
mashabiki wengi wa yanga ni watu wa-uswahilini pengine hawana hata mlo wa sikuSisi Yanga huwa uwezo wa kuingia uwanjani wengi hawana. Mara nyingi mpaka iwe bure au kiwango cha chini sana. Sijajua ni utamaduni wetu au ni nini.
Simba wanapenda sana kwenda Uwanjani. This time naona sababu sisi ndo host ni kama wana kamgomo flani. Hawaoneshi kabisa nia ya kuja uwanjani. Na sisi Yanga hali za mashabiki wetu ndo mpaka wapewe pesa na mjomba au n.k
Tufanye pambano liwe bure au angalau kila mwanayanga akija apate tsh 2000 ya nauli. Watu watakuja wengi sana na hatimaye tena watashihudia simba akipigwa bao si chini ya 2.
mashabiki wengi wa yanga ni watu wa-uswahilini
Wewe ndiye shabiki pekee wa simba uliyejikita kwenye ukweli. Wachezaji wengi wa simba kwenye hizi dakika za lala salama, ni kama vile wanatimiza tu wajibu uwanjani.Ila hii Mechi imekuja wakat mbaya sana sidhani kama kitakuwa na ushindani maana timu moja ishajikatoa tamaa ya ubingwa na pengine wachezaji Wana mgomo pia.
Sisi tunapiga tu 5 zingine rekodi zitaendelea kuwepo vizazi na vizaziIla hii Mechi imekuja wakat mbaya sana sidhani kama kutakuwa na ushindani maana timu moja ishajikatia tamaa ya ubingwa na pengine wachezaji Wana mgomo pia.
Bahati nzuri Mimi pamoja na huyo bibi Kizee wote ni mashabiki wa Misimbazi
Sihuwa tunakula kwako!mashabiki wengi wa yanga ni watu wa-uswahilini pengine hawana hata mlo wa siku
Hakuna shida wazee wenzenu wa yanga watatuwakilisha vyema.Bahati nzuri Mimi pamoja na huyo bibi Kizee wote ni mashabiki wa Misimbazi
Kwahiyo Jangwani kazi wanayo π
Akina Mzee Mpili sio?πHakuna shida wazee wenzenu wa yanga watatuwakilisha vyema.