Derby kunanmtu anafungwa 3-5..nani ntawambia siku moja kabla ya mechi

Derby kunanmtu anafungwa 3-5..nani ntawambia siku moja kabla ya mechi

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
Hizi habari sio nzuri sana kwa baadhi ya wananchi wapenda soka hasa wale wapenzi wa timu za derby

Niko huku msata mpaka sasa kuna timu inapigwa goli 3 -mpaka 5

Yaani hii n siku ya huxuni na kuna watu watashindwa kufuturu ama.kupanda meli hioo sikuuuuu

Ntawajuxa nani nawatakia kila la kheri

Kama unajijua una pressure shinkizo la damu usiangalir hii mecho sio bzuri kwenue ushauri tu

Kila la kheri wapendwa
 
baada ya hii mechi kuna watu wataimba sana hii nyimboo

sisi wana wa dunia tukumbukr mateso...

alisema tusali tusali rotation tupatee amani....

nk
 
So far kutakuwa na red kadi ama penalty ama vyote kwanpamoja
wachezaji wacheze kwa adabu sana na heshima
 
Back
Top Bottom