Derby na matokeo ya sare ni kupotezeana muda tu

Kama unazungumzia Simba vs Yanga mpira ni suluhu/sare. Hakuna alieshinda ila wote wamefungana.
Na kama hakuna mshindi ni huzuni kwetu sisi mashabiki.
 
Okrah kawacost wenzie kwa kutaka kua star wa mechi sehemu ya kutoa pasi analazimisha kufunga yeye 🚮🚮
Jmaa kazingua kinoma ubinafsi umemzidi, ndio maana aligombana na mzungu.
 
Okrah kawacost wenzie kwa kutaka kua star wa mechi sehemu ya kutoa pasi analazimisha kufunga yeye [emoji706][emoji706]
Ni mchezaji mzuri ambaye sikutegemea kama angerudia makosa namna ile. Ajirekebishe upesi.
 
Ingekua sasa hivi ni tabu tu huko mitaani mpaka jitu lilie
Mi nadhan hivi ndo sawa, tulindiane heshima, kila mtu apate angalau.
Ushindi tukautafutie kwengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…