Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwako matokeo ni bilabila!!? Mpaka useme hawajafungana!!??Sasa ndio nini hiki tumeraruana wiki nzima halafu wanashindwa kufungana. Yaani ujinga tu haina hata raha 😡😡😡😡
View attachment 2395711
Jmaa kazingua kinoma ubinafsi umemzidi, ndio maana aligombana na mzungu.Okrah kawacost wenzie kwa kutaka kua star wa mechi sehemu ya kutoa pasi analazimisha kufunga yeye 🚮🚮
Ni mchezaji mzuri ambaye sikutegemea kama angerudia makosa namna ile. Ajirekebishe upesi.Okrah kawacost wenzie kwa kutaka kua star wa mechi sehemu ya kutoa pasi analazimisha kufunga yeye [emoji706][emoji706]
Mi nadhan hivi ndo sawa, tulindiane heshima, kila mtu apate angalau.Ingekua sasa hivi ni tabu tu huko mitaani mpaka jitu lilie
Suluhu na sare ni tofauti mkuuKama unazungumzia Simba vs Yanga mpira ni suluhu/sare. Hakuna alieshinda ila wote wamefungana.
Basi hapo unataka uulizwe ni ipi tofauti ili ujione bingwa ukitaka, mna shida sana aisee.Suluhu na sare ni tofauti mkuu