Vilio kila kona leo.Marefa toka nje wawe wanachezesha derby ya kariakoo,inashangaza marefa wa ndani kurudia makosa yale yale kubeba timu moja.
Sehemu ambayo kadi nyekundu inatakiwa haitolewi,penati zinazostahili zinaminywa kubeba timu flani.
Rushwa nje nje, Chama anaingia kupiga foul aliyotengenezewa mazingira.
Hata aje Peruigi Collina mtafungwa tu. Hamna timu, tatizo sio refa.Marefa toka nje wawe wanachezesha derby ya kariakoo,inashangaza marefa wa ndani kurudia makosa yale yale kubeba timu moja.
Sehemu ambayo kadi nyekundu inatakiwa haitolewi,penati zinazostahili zinaminywa kubeba timu flani.
Rushwa nje nje, Chama anaingia kupiga foul aliyotengenezewa mazingira.
Kaangalie marudio utaelewaIle faulo aliopga chama ndio sja elewa kabisa
Na ule udakaji wa camara unatia mashaka ila magori kasema atakula naye sahani moja.Ile faulo aliopga chama ndio sja elewa kabisa
Bila kubebwa na refa mechi ya Dodoma jiji leo tungekua tunaongea mengineMarefa toka nje wawe wanachezesha derby ya kariakoo,inashangaza marefa wa ndani kurudia makosa yale yale kubeba timu moja.
Sehemu ambayo kadi nyekundu inatakiwa haitolewi,penati zinazostahili zinaminywa kubeba timu flani.
Rushwa nje nje, Chama anaingia kupiga foul aliyotengenezewa mazingira.
Mmeshapata wakumubebesha lawamaNa ule udakaji wa camara unatia mashaka ila magori kasema atakula naye sahani moja.
Nikaangalie marudio wakati ilisharudiwa zaidi ya mar moja au marudio yepi tenaKaangalie marudio utaelewa
endelezeni domo,mnaongea sana mikiaMarefa toka nje wawe wanachezesha derby ya kariakoo,inashangaza marefa wa ndani kurudia makosa yale yale kubeba timu moja.
Sehemu ambayo kadi nyekundu inatakiwa haitolewi,penati zinazostahili zinaminywa kubeba timu flani.
Rushwa nje nje, Chama anaingia kupiga foul aliyotengenezewa mazingira.
Jengeni timu mtalaumu kila mtuNikaangalie marudio wakati ilisharudiwa zaidi ya mar moja au marudio yepi tena
Fanyeni usajili acheni mbambamba zisizokuwa na kichwa Wala miguu, mmepigwa mechi 4 mfululizo mmekuwa mkibadili visingizio mara hivi mara vile ni aibu, ubora wa kikosi chenu bado sana kujilinganisha na yanga mtakuwa mnakufa kwa presha za kujitakia!Marefa toka nje wawe wanachezesha derby ya kariakoo,inashangaza marefa wa ndani kurudia makosa yale yale kubeba timu moja.
Sehemu ambayo kadi nyekundu inatakiwa haitolewi,penati zinazostahili zinaminywa kubeba timu flani.
Rushwa nje nje, Chama anaingia kupiga foul aliyotengenezewa mazingira.
Magori na yeye ni tapeli tu pale Simba viongozi uwa wanakimbia kujilinda haraka haraka kuwaangushia wenzao jumba bovu wakati wao ndio wabovu!Na ule udakaji wa camara unatia mashaka ila magori kasema atakula naye sahani moja.
Ujinga tu mwamuzi amechezesha fair tu.Tumeshindwa kufunga wenyewe na sio kulaumu mwamuziMarefa toka nje wawe wanachezesha derby ya kariakoo,inashangaza marefa wa ndani kurudia makosa yale yale kubeba timu moja.
Sehemu ambayo kadi nyekundu inatakiwa haitolewi,penati zinazostahili zinaminywa kubeba timu flani.
Rushwa nje nje, Chama anaingia kupiga foul aliyotengenezewa mazingira.
Marefa toka nje wawe wanachezesha derby ya kariakoo,inashangaza marefa wa ndani kurudia makosa yale yale kubeba timu moja.