Derby ya Kariakoo ichezeshwe na Marefa kutoka nje

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Marefa toka nje wawe wanachezesha derby ya kariakoo,inashangaza marefa wa ndani kurudia makosa yale yale kubeba timu moja.

Sehemu ambayo kadi nyekundu inatakiwa haitolewi,penati zinazostahili zinaminywa kubeba timu flani.
Rushwa nje nje, Chama anaingia kupiga foul aliyotengenezewa mazingira.
 
Vilio kila kona leo.

Kolos bado hamjasema.
 
Marefa toka nje wawe wanachezesha derby ya kariakoo,inashangaza marefa wa ndani kurudia makosa yale yale kubeba timu moja.
Sehemu ambayo kadi nyekundu inatakiwa haitolewi,penati zinazostahili zinaminywa kubeba timu flani.
Rushwa nje nje, Chama anaingia kupiga foul aliyotengenezewa mazingira.
Hata aje Peruigi Collina mtafungwa tu. Hamna timu, tatizo sio refa.
 
Marefa toka nje wawe wanachezesha derby ya kariakoo,inashangaza marefa wa ndani kurudia makosa yale yale kubeba timu moja.
Sehemu ambayo kadi nyekundu inatakiwa haitolewi,penati zinazostahili zinaminywa kubeba timu flani.
Rushwa nje nje, Chama anaingia kupiga foul aliyotengenezewa mazingira.
Bila kubebwa na refa mechi ya Dodoma jiji leo tungekua tunaongea mengine
 
Marefa toka nje wawe wanachezesha derby ya kariakoo,inashangaza marefa wa ndani kurudia makosa yale yale kubeba timu moja.

Sehemu ambayo kadi nyekundu inatakiwa haitolewi,penati zinazostahili zinaminywa kubeba timu flani.
Rushwa nje nje, Chama anaingia kupiga foul aliyotengenezewa mazingira.
endelezeni domo,mnaongea sana mikia
 
Marefa toka nje wawe wanachezesha derby ya kariakoo,inashangaza marefa wa ndani kurudia makosa yale yale kubeba timu moja.

Sehemu ambayo kadi nyekundu inatakiwa haitolewi,penati zinazostahili zinaminywa kubeba timu flani.
Rushwa nje nje, Chama anaingia kupiga foul aliyotengenezewa mazingira.
Fanyeni usajili acheni mbambamba zisizokuwa na kichwa Wala miguu, mmepigwa mechi 4 mfululizo mmekuwa mkibadili visingizio mara hivi mara vile ni aibu, ubora wa kikosi chenu bado sana kujilinganisha na yanga mtakuwa mnakufa kwa presha za kujitakia!
 
Marefa toka nje wawe wanachezesha derby ya kariakoo,inashangaza marefa wa ndani kurudia makosa yale yale kubeba timu moja.

Sehemu ambayo kadi nyekundu inatakiwa haitolewi,penati zinazostahili zinaminywa kubeba timu flani.
Rushwa nje nje, Chama anaingia kupiga foul aliyotengenezewa mazingira.
Ujinga tu mwamuzi amechezesha fair tu.Tumeshindwa kufunga wenyewe na sio kulaumu mwamuzi

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Marefa toka nje wawe wanachezesha derby ya kariakoo,inashangaza marefa wa ndani kurudia makosa yale yale kubeba timu moja.

Sehemu ambayo kadi nyekundu inatakiwa haitolewi,penati zinazostahili zinaminywa kubeba timu flani.
Rushwa nje nje, Chama anaingia kupiga foul aliyotengenezewa mazingira.

Weka refa hata kutoka brazil au Uk waje kuchezesha Derby ,naweka Nyumba ,naweka mke ,naweka accounts za tigopesa/airtel money ,crdb na absa ,100% mnakula chuma tena ,timu yenu haiwezi kuishinda yanga ,mmetandikwa mara nne mfululizo.
 
Huyu ni wewe sasa malalamiko ya Nini mkuu
Screenshot_20241003-194603.jpg
 
Back
Top Bottom