Derby ya Kariakoo ichezeshwe na Marefa kutoka nje

Derby ya Kariakoo ichezeshwe na Marefa kutoka nje

Simba kila akifungwa hakosi kulalamika nyie mshukuru mmekamia mmepunguza idadi ya magoli lakini team hakuna pale kama coast tu aliweza kurudisha magoli yote ijekua kutokufungwa na yanga.Derby gani ya upande mmoja yanga waikufunga hapa Tanzania ni mahakama tu.
 
Nashangaa wanao mlaumu refa, Kayoko kachezesha kwa usahihi sana
usahihi wa nyuma mwiko ,penye nyekundu angetoa nyekundu penye penalty angetoa penalty usilete story ya kuchezesha kwa usahihi tunatak afanye maamuzi sahii penalty mbili one ,one clear chance for simba one red card kwa hamza afu anakuja kutoa faulo za kishamba okajepha kacheza foul gani pale hovyo kabisa
 
usahihi wa nyuma mwiko ,penye nyekundu angetoa nyekundu penye penalty angetoa penalty usilete story ya kuchezesha kwa usahihi tunatak afanye maamuzi sahii penalty mbili one ,one clear chance for simba one red card kwa hamza afu anakuja kutoa faulo za kishamba okajepha kacheza foul gani pale hovyo kabisa
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC.
JamiiForums-2104962820.jpeg
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC. View attachment 3131081
OG (Tuliwatia kapuni )next time mtatueleza vizuri mlishindaje kwa kagera sugar
 
Marefa toka nje wawe wanachezesha derby ya kariakoo,inashangaza marefa wa ndani kurudia makosa yale yale kubeba timu moja.

Sehemu ambayo kadi nyekundu inatakiwa haitolewi,penati zinazostahili zinaminywa kubeba timu flani.
Rushwa nje nje, Chama anaingia kupiga foul aliyotengenezewa mazingira.
Visingizio Fc hata wachezeshe Malaika kutoka Mbinguni! Bado Yanga itawafunga tu.
 
Back
Top Bottom