Dereva akienda safari 150k kwa siku mwalimu 50k ...Dar life is not fair.....tutegemee elimu ipande kweli ???

Dereva akienda safari 150k kwa siku mwalimu 50k ...Dar life is not fair.....tutegemee elimu ipande kweli ???

Kuna shule unakuta zinajisifu eti hoo sisi tuna one zote . Kumbe mtu kulipwa 500k kusahihisha one zote....
500k ?????huu ni uonevuuu
 
Haya makelele na hizi nguvu mngezitumia katika kusimamia haki kipindi Cha uchaguzi, ndio zingetupa viongozi Bora wenye maono na mwelekeo kwenye Taifa hili...

Mtulie sasa' ningekuwa Mimi nisingewalipa na msingenifanya chochote
 
Kuna shule unakuta zinajisifu eti hoo sisi tuna one zote . Kumbe mtu kulipwa 500k kusahihisha one zote....
500k ?????huu ni uonevuuu
Hio ni posho ya kufanya marking kwenye mitihani, je inachukua muda gani huko mnaposahihisha mitihani?

Je hio posho unajitegemea chakula na malazi?
 
Malazi ni vitanda vya shule vya 1000 tuu havina ubora mkubwaa. Yaani mtumishi analala kitanda cha mwanafunziiii???? CHUKULIA PERDIEM NI 150000 SASA SIKU 10 MTU LETS SAY KALIPWA 800K INA MAANA KALIPWA 80 K SIKU. KWA HIYO MALAZI NA CHAKULA NI 70K KWA SIKU???
 
Haya makelele na hizi nguvu mngezitumia katika kusimamia haki kipindi Cha uchaguzi, ndio zingetupa viongozi Bora wenye maono na mwelekeo kwenye Taifa hili...

Mtulie sasa' ningekuwa Mimi nisingewalipa na msingenifanya chochote
Hapa ni kuwasemea voiceless . Haki itendekeee
 
Hapa ni kuwasemea voiceless . Haki itendekeee
Hakuna Cha voiceless ni mmoja wapo....

Baadhi ya Idara hasa Elimu mnajukumu la kuleta viongozi Bora watao linda na kujali mustakabali na maslahi ya hii nchi....

Endekezeni tamaa, haya' ndio matokeo yake... Msilie, anzeni kufanya mabadiliko kutokea ndani ya mioyo yenu
 
Back
Top Bottom