JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Tamko la faini limetolewa na Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, Ignas Gara ambapo Twiga aliyegongwa alifariki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alifariki!? Du mi nilidhani labda alikufa!Ajali hiyo ilitokea usiku wa kuamkia Septemba 29, 2022 ambapo kwa sasa dereva huyo anapatiwa matibabu chini ya ulinzi wa Polisi kutokana na majeraha aliyoyapata katika tukio hilo.
Tamko la faini limetolewa na Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, Ignas Gara ambapo Twiga aliyegongwa alifariki.
Tatizo ni sheria inasema nini kuhusu kosa husika..??Twiga milioni34 yule wakuwavimbia polisi na matusi juu laki mbili.
Ama kweli mwenye nacho huongezewa na kila mchuma janga hula na wa kwao
Kwenye hyo hyo ajali, dereva akimgonga binadamu na kumuua adhabu yake ni kulipa Laki Tano au achague kwenda jela Miaka 3...ndo utajua nani anathamani.Ajali hiyo ilitokea usiku wa kuamkia Septemba 29, 2022 ambapo kwa sasa dereva huyo anapatiwa matibabu chini ya ulinzi wa Polisi kutokana na majeraha aliyoyapata katika tukio hilo.
Tamko la faini limetolewa na Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, Ignas Gara ambapo Twiga aliyegongwa alifariki.
Nawaza nani ana thamani kati ya tembo, twiga na mwanadamuKwenye hyo hyo ajali, dereva akimgonga binadamu na kumuua adhabu yake ni kulipa Laki Tano au achague kwenda jela Miaka 3...ndo utajua nani anathamani.
Tembo Aue binadamu, familia itapewa kifuta Jason Cha sh 700000 Nayo Baada ya kupambna sana
Ua tembo hta Kama amekuvamia??? Kifungo Miaka 30
Twiga anafariki acheni utwana, twiga ni mnyama anakiga bna
Unadhani ingekuwa wewe ingelipwa hiyo pesa? Ingekuwa traffic case and issue closed. Twiga kwa thamani hiyo kafariki.Alifariki!? Du mi nilidhani labda alikufa!
Kabisa!Ukiona inchi ambayo mnyama ana thamani kuliko binaadamu,
Ni ya kuogopwa sn.
Mungu tusaidie..