dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
Kasome mkataba wa bima uulewe. Sio kila kitu kwenye ajali bima ina-cover.Gari si ina Bima...Nafikiri Bima wanatakiwa kulipa hiyo fine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasome mkataba wa bima uulewe. Sio kila kitu kwenye ajali bima ina-cover.Gari si ina Bima...Nafikiri Bima wanatakiwa kulipa hiyo fine.
Serikali ichepushe hiyo barabara ipite mbali na mbuga hiyo. Wasituwekee mitego ya kijinga kwa lengo la kupiga watu pesa.Pole mno kwa dereva aliyepata ajali hii, Mwenyezi Mungu akupe wepesi wa kupona haraka, hakuna anayeendesha gari kwa Nia ya kwenda kugonga mnyama au chochote kile ,nchi hii vituko mno vya kimhemko, it's totally uncalled hiyo fine, mkuu wa mbuga ya mikumi una mapungufu mengi mno kwenye mbuga yako, rekebisha mapungufu yake including this draconian law
Duh! Kwahiyo nikiuwa tembo ni kama nimempa mwanafunzi ujauzito?Kwenye hyo hyo ajali, dereva akimgonga binadamu na kumuua adhabu yake ni kulipa Laki Tano au achague kwenda jela Miaka 3...ndo utajua nani anathamani.
Tembo Aue binadamu, familia itapewa kifuta Jason Cha sh 700000 Nayo Baada ya kupambna sana
Ua tembo hta Kama amekuvamia??? Kifungo Miaka 30
Ni uhujumu uchumi, Huo na kësi za nyara za serikali ni balaaDuh! Kwahiyo nikiuwa tembo ni kama nimempa mwanafunzi ujauzito?
Aise hii ni hatari 🙁
Hapana mkuu haina haja ya kuchepusha na wala sio rocket science, tufanye yafuatayo, Ile barabara ipanuliwe pamoja na kuwa na yellow line pia isafishwe pande zote mbili kwa 30m,hii itasaidia kuwazuia wanyama wadogo ambao wanagongwa zaidi to stray eneo hili maana wataogopa kuwa exposed kushambuliwa na predators, wenzetu Botswana 🇧🇼 wamefanya hivi na ni wanyama wachache sana wanaogongwa, from Nata hadi kasane zaidi ya 300km ni almost mbuga ya wanyama, haina matuta wala mabango ya vitisho ila wametumia science, ukifika kasane wild animals wapo mjini kabisa na hakuna tatizo lolote, ni keep on your on line, Tanzania yetu mihemko imezidi mnoSerikali ichepushe hiyo barabara ipite mbali na mbuga hiyo. Wasituwekee mitego ya kijinga kwa lengo la kupiga watu pesa.
Nimekuelewa Kiongozi. Thinking kama hizi sioni watendaji wetu wakiwa nazo. Wao ni maguvu ya kipuuzi bila thinking beyond the horizons.Hapana mkuu haina haja ya kuchepusha na wala sio rocket science, tufanye yafuatayo, Ile barabara ipanuliwe pamoja na kuwa na yellow line pia isafishwe pande zote mbili kwa 30m,hii itasaidia kuwazuia wanyama wadogo ambao wanagongwa zaidi to stray eneo hili maana wataogopa kuwa exposed kushambuliwa na predators, wenzetu Botswana 🇧🇼 wamefanya hivi na ni wanyama wachache sana wanaogongwa, from Nata hadi kasane zaidi ya 300km ni almost mbuga ya wanyama, haina matuta wala mabango ya vitisho ila wametumia science, ukifika kasane wild animals wapo mjini kabisa na hakuna tatizo lolote, ni keep on your on line, Tanzania yetu mihemko imezidi mno
[emoji23]hii Nchi bora uwe Twiga haki ya nani
Mzee ulishawahi kukata bima? Kule nyuma kwenye maelezo maelezo imeandikwa kwamba fidia juu ya loss of life haitazidi 60,000,000 tshs kwaio ni jukumu lenu baada ya kumaliza kesi ya criminal kufungua kesi ya madai dhidi ya kampuni ya bima mpewe huo mpunga wenu...Kwenye hyo hyo ajali, dereva akimgonga binadamu na kumuua adhabu yake ni kulipa Laki Tano au achague kwenda jela Miaka 3...ndo utajua nani anathamani.
Tembo Aue binadamu, familia itapewa kifuta Jason Cha sh 700000 Nayo Baada ya kupambna sana
Ua tembo hta Kama amekuvamia??? Kifungo Miaka 30
Kwani dereva aliacha barabara na kumfuata twiga porini? Au hiyo barabara ni sehemu ya mbuga ya wanyamapori?Ajali hiyo ilitokea usiku wa kuamkia Septemba 29, 2022 ambapo kwa sasa dereva huyo anapatiwa matibabu chini ya ulinzi wa Polisi kutokana na majeraha aliyoyapata katika tukio hilo.
Tamko la faini limetolewa na Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, Ignas Gara ambapo Twiga aliyegongwa alifariki.
Sheria ifanyiwe marekebishoTatizo ni sheria inasema nini kuhusu kosa husika..??
Uko nikwawale wanaojielewa.uku kwetu mambo yanawekwa kimtego mtego alafu yanatungiwa sheria ili uvunje ugeuzwe mradi.Hapana mkuu haina haja ya kuchepusha na wala sio rocket science, tufanye yafuatayo, Ile barabara ipanuliwe pamoja na kuwa na yellow line pia isafishwe pande zote mbili kwa 30m,hii itasaidia kuwazuia wanyama wadogo ambao wanagongwa zaidi to stray eneo hili maana wataogopa kuwa exposed kushambuliwa na predators, wenzetu Botswana [emoji1052] wamefanya hivi na ni wanyama wachache sana wanaogongwa, from Nata hadi kasane zaidi ya 300km ni almost mbuga ya wanyama, haina matuta wala mabango ya vitisho ila wametumia science, ukifika kasane wild animals wapo mjini kabisa na hakuna tatizo lolote, ni keep on your on line, Tanzania yetu mihemko imezidi mno
Wote viumbe na wanastahili kuishiNawaza nani ana thamani kati ya tembo, twiga na mwanadamu